Nashauri Rais Samia amteue Dkt. Slaa kuwa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania. Uzoefu wake kisiasa, kukubalika na wapinzani kutambeba

Namshauri mh. Rais Samia Suluhu Hassan amteue Dk. Slaa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, uzoefu wake utaboresha utendaji wa Tume, na pia Tume itakuwa na uwakilishi wa nguli wa Siasa za upinzani Tanzania.
Maskini Slaaa
 
Acheni fujo, Lowasa alimfuata Dr. Slaa CDMA, akamletea figisu, tit for tat,. Nae karudi CCM. Kachukua zile previllage Lowasa alizo ziacha CCM.

Lowasa anakuja kushtuka CHDEMA hapamfai,! Ile kurudi CCM kakuta zile previllage kashazibeba Dr. Slaa kitambo Sana.

Hii ndo siasa hasa, the game of calculated timing.

Hata Mimi ningefanya hivo.
 
Namshauri mh. Rais Samia Suluhu Hassan amteue Dkt. Slaa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, uzoefu wake utaboresha utendaji wa Tume, na pia Tume itakuwa na uwakilishi wa nguli wa Siasa za upinzani Tanzania.
Hicho Cheo kidogo Dr.SLAA nafasi anayostahiri ni UWAZIRI MKUU
 
Majitu ya Chadema hayajui kwamba ili uwe Waziri Mkuu lazima uwe mbunge wa kuchaguliwa, hovyo kabisa, kazi kupiga kelele twita
 
Namshauri mh. Rais Samia Suluhu Hassan amteue Dkt. Slaa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, uzoefu wake utaboresha utendaji wa Tume, na pia Tume itakuwa na uwakilishi wa nguli wa Siasa za upinzani Tanzania.
Silaa kazeeka, hana jipya
 
Hajanunuliwa, ni mzalendo sana na wananchi wanamuelewa, ni vile tu Mbowe alipewa bilioni mbili na Lowasa ili amuondoe Slaa asigombee Urais,
Hii kauli yako imelenga wale watu wajinga, ambao ndio mtaji mkubwa wa ccm. Mtu mwenye akili anakuonawe ni kiroboto tu. Kama unajua Mbowe na Lowassa walifanya biashara haramu ya kuuza na kununua binadamu kwa nini usingeenda mahakamani?
 
Uchaguzi ilikuwa mahakama tosha,uliona walivyopigwa?
 
Namshauri mh. Rais Samia Suluhu Hassan amteue Dkt. Slaa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, uzoefu wake utaboresha utendaji wa Tume, na pia Tume itakuwa na uwakilishi wa nguli wa Siasa za upinzani Tanzania.
Nani kakudanganya anafaa? Mtu maslahi hafai kuwa
 
Namshauri mh. Rais Samia Suluhu Hassan amteue Dkt. Slaa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, uzoefu wake utaboresha utendaji wa Tume, na pia Tume itakuwa na uwakilishi wa nguli wa Siasa za upinzani Tanzania.
Kwanini asiwe Katibu mkuu wa CCM?
 
Namshauri mh. Rais Samia Suluhu Hassan amteue Dkt. Slaa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, uzoefu wake utaboresha utendaji wa Tume, na pia Tume itakuwa na uwakilishi wa nguli wa Siasa za upinzani Tanzania.
Kwa nini usipendekeze akuteuwe wewe? Wewe huna uzoefu au faida yoyote kwa Taifa hili zaidi ya kuleta porojo hapa JF??
 
Back
Top Bottom