#COVID19 Nashauri Serikali iandae mdahalo mubashara wa Television baina ya Askofu Gwajima na Waziri wa Afya ili kumaliza utata uliopo juu ya usalama wa chanjo

Hapa umejibu hoja ipi kati ya hizo nilizotaja?, hivi nyie watu mnaona raha gani mnapomwaga ubongo wote chini na kujaza kinyesi cha mbuzi kichwani, mnafaidika nini? Hoja hujibiwa kwa hoja, hoja kwa hoja , hoja kwa hoja, turudie mara ngapi?!!
Weye toka umeazaliwa hujawahi kupiga chanjo ,chanjo ngapi umepiga mpk sasa .Gwajima hataki kupiga chanjo asiwatie watu pumba ,akatae kama yy tu na familiya yake ,masuala ya kijinga jinga mengi yasokuwa na tija.
 
Sawa, vipi kuhusu hizo hoja zake hapo juu?
 
Weye toka umeazaliwa hujawahi kupiga chanjo ,chanjo ngapi umepiga mpk sasa .Gwajima hataki kupiga chanjo asiwatie watu pumba ,akatae kama yy tu na familiya yake ,masuala ya kijinga jinga mengi yasokuwa na tija.
Nilichoma, ila hazikuwa za majaribio. Na vipi kuhusu hizo hoja zake hapo juu?
 
Sina shida ya pesa, natoa hoja tu.
Sasa weye una msapoti Gwajima .Je ? una mpango wa kuchoma au unamsubiri Gwajima btw dawa zote zinazo side effects zake ,nani kalazimishwa kuchoma chanjo ? Ukitaka choma hutaki wacha.Huyu bwana ana lengo lake.
 
Yaani unamaanisha Gwajima na Gwajima wapew airtime kwenye media? bangi mwachie bob marley tu
Kiukweli hata mimi nimeshangaa sana. Yani serikali ituandalie mdahalo wa vichaa?
 
Sasa weye una msapoti Gwajima .Je ? una mpango wa kuchoma au unamsubiri Gwajima btw dawa zote zinazo side effects zake ,nani kalazimishwa kuchoma chanjo ? Ukitaka choma hutaki wacha.Huyu bwana ana lengo lake.
Sawa, jibu hizo hoja zake hapo juu
 
yaani waanzishe kikundi chao cha comedy! good idea
 
Mollel ndo atakayekuwa msemaji wa Serikali. Serikali haiwezi kutosa mguu mswali magumu hayajibikiwa wameshindwa mpaka CDC kuyajibu.
Utaacha kuvaa barokoa jibu nenda kachome
Sitaambukiza jibu nenda kachome
Kikija kirusi kingine sitapata jibu nenda kachome.
 
Ili iweje? Na gwaji boy yy nani mpaka aandaliwe mdahalo na govt?
 
Yaani wanashindwa kabisa kujibu hoja, wanabaki kutisha watu
 
Mdaharo na mwehu? Nani yuko tayari kupromoti ujinga na upumbavu na pumba hizi ajidhalilishe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…