Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
... tuliochanjwa tulichanjwa kwa hiyari, HATUKULAZIMISHWA!Tujikite kwenye chanjo ya Corona, mada ipo hapo. Ninachoweka ni updates za madhara wanayopata waliochoma miaka mi5 nyuma, mfano Japan case za heart failure kwa waliochoma zimeongezeka kwa 4900%.., nitaendelea kuweka updates hata baada ya miaka 20, labda JF ifungwe…, maana kipindi kile tunaomba mjadala na waziri ilikuwa ni kuhojji possible outcomes kama hizi..
Serikali haiwezi kukaa bila uamuzi kwenye suala nyeti kama jitihada za kuokoa maisha ya raia wake, kwahiyo iliruhusu tuamue wenyewe kuchanjwa ama la hizo chanjo zilizoletwa!