Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Mpo Salama bila Shaka!
Sio kila wakati au kila Jambo mabavu na ubabe ni suluhu ya matatizo.
Mwaka Jana niliwahi kuandika hapa Pre GE2025 - Matukio yanayoongoza wakati huu ni utekaji, mauaji, teuzi, maandamano na kesi. Je, nini kinafuata?
Ni juzi tuu wala sio Mbali.
Wataalamu wa mambo yajayo hasa watabiri, waganga wa kienyeji, majasusi mara nyingi huongozwa na patterns katika kutarajia mambo yajayo au yaliyopita.
Ni hakika kuwa kila Jambo hutokea kutokana na Jambo lililopo.
Kesi ya Tundu Lissu haina maslahi na taifa letu. Zaidi naona ni hasara kwetu.
Hasara kwa serikali
Hasara kwa waliomkamata.
Hasara kila sehemu.
Viongozi wenye maamuzi jitahidini kufungua masikio msikie kile ninachowaambia. Wanaoshauri Lisu aendelee kubaki ndani wanafanya hivyo bila kuangalia faida na hasara.
Hawaangalii mbele kuna nini na pengine sio rahisi kusoma patterns za matukio.
Lissu umri wake sio tishio. Tayari anaimaliza robo ya tatu ya maisha yake.
Umri haupo upande wake. Hivyo kumpiga chura teke Kwa kumpa nguvu na umashuhuri ambao haukutakiwa yalikuwa maamuzi yasiyosahihi.
Kwa akili za watanzania wengi. Tundu Lissu hata angepewa miaka 30 zaidi watanzania wengi bado wasingemuelewa.
Sasa ikiwa ni hivyo, kwa nini kupata hasara na kuchafua jina la nchi kimataifa.
Hakukuwa na umuhimu.
Hii kesi ya Lissu italeta Mambo Mengi Sana
HAlafu serikali lazima ielewe. Je Lissu anachukuliaje kuwa Mahabusu na kupewa mashtaka ya aina hiyo?
Je kwa Lissu ni advantage?
Je ni sehemu ya mipango na mikakati ya Lisu mpaka hatua hii? Kwamba serikali inaona inamkomoa kumbe wapo kwenye playlist ya Lissu?
Je Lissu anafurahia au anajuta kwa hatua iliyopo?
Je mpaka sasa nguvu ya Lissu ndani na Nje ya nchi imepungua au imezidi?
Je ni nini Lissu anakikosa kwenye harakati zake na kitu hicho atakipata au Kitaaktivetiwa na uwepo wake mahabusu?
Kama ni sapoti ya mataifa makubwa, je uwepo wa lisu gerezani utazuia sapoti ya harakati zake au atabustiwa?
Kama ni Mimi, baada ya kufanya Makosa ya kumuweka ndani, mapema mno baada ya kugundua nimepuyanga ninge-abort huo mpango. Na kumtoa na kuandaa mpango mwingine.
Haya! Ngoja tuone!
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam