Kesi na mashitaka si tatizo, je, ushahidi wenyewe upo? Unaendana na mazingira? Je, maneno yake aliyoyasema yanaendana na mashitaka? Au ni kulazimisha yaendane itawezekana? Kufikia hukumu ya kunyongwa hadi kufa, waitakayo, binafsi najiuliza sana, kwa ''mathematician '' kuwa na jibu si hoja, ni njia kufikia jibu ni muhimu, na udhibitisho wa jibu!Kifalisafa wamefeli Sana .
Kwakuwa Lissu kuwa ndani na Lissu kuwa nje wangeangalia faida na hasara ikiwa hasara ni nyingi basi wangemuacha na faida ni nyingi wangemkamata.
Ila sasa unamkamata kwa kosa gani lakubumba au kosa halisi la kweli .?
Binafsi sisiemu Ina watu wajinga Sana kuwahi kutokea duniani.
MTU unapokuwa unapambania madaraka lazima utofatishe Adui yako na mpinzani wako.
Ila wanachofanya sisiemu wana Offend the wrong Enemy .
Hawajifunzi
Mama Samia atakonda kwa mawazo huku No Redorms inamtafuna, huku Gwaji na yeye aachia DUDE...akigeuka Kesi ya UHAINI ya Lissu..akirudi nyumna anakutana na tamko la EU kuhusu demokrasia, US na wao wanataka report ya utekaji na ubakaji wa mwanaharakati wa Uganda
CCM kwisha kazi.
Tundu Lissu ni kama Yohana Mbatizaji...
Alikuwa ni sauti iliaye nyikani, alitangulia kutengeneza njia ya Masihi, mwokozi wa dunia na Ulimwengu Yesu Kristo...
Tundu Lissu anatengeneza njia. Na ndugu Robert Heriel Mtibeli na wengine, nawahakikishia jambo moja, movement ya NO REFORMS NO ELECTION itazaa matunda, itafanikiwa chini ya Tundu Lissu...
Kuwa kwenye kuta za gereza wala isiwape shida. Ndiyo njia ya mabadiliko hiyo. Na kuta za gereza zitabomoka na Tundu Lissu atatoka kama Paul na Sila, mtume Petro waliokuwa wamefungwa magerezani, kwa kuwa walikuwa vyombo vya Mungu wa mbinguni kutekeleza kusudi lake, kuta za magereza haxikuwa kikwazo si mara moja na wala si mara mbili. Ni mara nyingi...
Jambo jingine nawahakikishia.
➡Mwaka huu 2025 hakutakuwa na uchaguzi mkuu tutauahirisha kwa mwaka 1 au 2 kuruhusu kufanya electoral reforms..
➡Wacheze serakasi zao zote, waue, wateke na kutesa kwa kadiri wawezavyo, lakini Bi Samia Suluhu Hassan hatakuwa Rais wa Tanganyika tena. Yupo ajaye mwingine kabisa, mtashangaa..
Reference: Mfalme Daudi ni miongoni mwa watoto 8 wa Mzee Yesse. Lakini hakuwa anafikiriwa wala kupewa nafasi yoyote kwa akili na mitazamo ya wanadamu kuwa huyu ndiye mfalme. Wanadamu walikuwa wakitazama nje, sura na umaarufu wa wale wengine 7. Lakini hawakuwepo hata mmoja aliyekuwa na sifa ya kuwa mfalme...
Hata Nabii Samwel mwenyewe alipigwa na butwaa kwamba katika hawa kumbe hakuna hata mmoja...???
Ni mpaka Mungu alipomwambia Nabii Samwel kuwa;
"...Samuel mimi huwa siangalii umbo au sura ya mtu; umaarufu na popularity ya mtu. Au fedha na alivyo navyo mtu ama anazungukwa na kina nani. Mimi Bwana Mungu wako huangalia moyo wa mtu..."
Ndipo kajamaa kachunga ng'ombe, kondoo na Mbuzi tu porini - Daudi mtoto wa mwisho wa Mzee Yesse alipofuatwa toka machungani na kupakwa mafuta ya ufalme wa Israel...
Hata sisi tutegemee maajabu safari hii. Mungu amesikia kilio na maombi ya Watanzania. Ameshuka meenyewe kuja kutukomboa...
Rais wa nchi hii safari hii hayupo miongoni mwa washirikina na wapiga ramli kina Samia. Anaweza kuwa mchungaji wa kondoo na anweza kuwa yuko gerezani, wamemfunga huko ili asiwanyang'anye ufalme wao...
Je, mwanadamu aweza kumpinga Mungu Yehova..??
Utakuwa umenielewa. Sorry for my long narratio
Gwajima kasema kitu Cha kutumia akili wanatumia nguvuNdani ya CCM hakuna Watu wenye akili nzuri ya kuweza kuyatambua mambo haya. All are the short-sighted mind individuals.
Sijui km wanaelewa ila tutarudi hapa na hii ndo Hali halisi.....Tundu Lissu ni kama Yohana Mbatizaji...
Alikuwa ni sauti iliaye nyikani, alitangulia kutengeneza njia ya Masihi, mwokozi wa dunia na Ulimwengu Yesu Kristo...
Tundu Lissu anatengeneza njia. Na ndugu Robert Heriel Mtibeli na wengine, nawahakikishia jambo moja, movement ya NO REFORMS NO ELECTION itazaa matunda, itafanikiwa chini ya Tundu Lissu...
Kuwa kwenye kuta za gereza wala isiwape shida. Ndiyo njia ya mabadiliko hiyo. Na kuta za gereza zitabomoka na Tundu Lissu atatoka kama Paul na Sila, mtume Petro waliokuwa wamefungwa magerezani, kwa kuwa walikuwa vyombo vya Mungu wa mbinguni kutekeleza kusudi lake, kuta za magereza haxikuwa kikwazo si mara moja na wala si mara mbili. Ni mara nyingi...
Jambo jingine nawahakikishia.
➡Mwaka huu 2025 hakutakuwa na uchaguzi mkuu tutauahirisha kwa mwaka 1 au 2 kuruhusu kufanya electoral reforms..
➡Wacheze serakasi zao zote, waue, wateke na kutesa kwa kadiri wawezavyo, lakini Bi Samia Suluhu Hassan hatakuwa Rais wa Tanganyika tena. Yupo ajaye mwingine kabisa, mtashangaa..
Reference: Mfalme Daudi ni miongoni mwa watoto 8 wa Mzee Yesse. Lakini hakuwa anafikiriwa wala kupewa nafasi yoyote kwa akili na mitazamo ya wanadamu kuwa huyu ndiye mfalme. Wanadamu walikuwa wakitazama nje, sura na umaarufu wa wale wengine 7. Lakini hawakuwepo hata mmoja aliyekuwa na sifa ya kuwa mfalme...
Hata Nabii Samwel mwenyewe alipigwa na butwaa kwamba katika hawa kumbe hakuna hata mmoja...???
Ni mpaka Mungu alipomwambia Nabii Samwel kuwa;
"...Samuel mimi huwa siangalii umbo au sura ya mtu; umaarufu na popularity ya mtu. Au fedha na alivyo navyo mtu ama anazungukwa na kina nani. Mimi Bwana Mungu wako huangalia moyo wa mtu..."
Ndipo kajamaa kachunga ng'ombe, kondoo na Mbuzi tu porini - Daudi mtoto wa mwisho wa Mzee Yesse alipofuatwa toka machungani na kupakwa mafuta ya ufalme wa Israel...
Hata sisi tutegemee maajabu safari hii. Mungu amesikia kilio na maombi ya Watanzania. Ameshuka meenyewe kuja kutukomboa...
Rais wa nchi hii safari hii hayupo miongoni mwa washirikina na wapiga ramli kina Samia. Anaweza kuwa mchungaji wa kondoo na anweza kuwa yuko gerezani, wamemfunga huko ili asiwanyang'anye ufalme wao...
Je, mwanadamu aweza kumpinga Mungu Yehova..??
Utakuwa umenielewa. Sorry for my long narration
Ni kweli kiziwi anasikia,ila tatizo lipo kwenye kufahamu na kuelewa,kiziwi mpumbav na kuziwi mwerevu hao ni viziwi wawili tofauti,labda utufafanulie sa100 ni kiziwi yupiKwenye saikoloji hata kiziwi anasikia