Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Mpo Salama bila Shaka!
Sio kila wakati au kila Jambo mabavu na ubabe ni suluhu ya matatizo.
Mwaka Jana niliwahi kuandika hapa Pre GE2025 - Matukio yanayoongoza wakati huu ni utekaji, mauaji, teuzi, maandamano na kesi. Je, nini kinafuata?
Ni juzi tuu wala sio Mbali.
Wataalamu wa mambo yajayo hasa watabiri, waganga wa kienyeji, majasusi mara nyingi huongozwa na patterns katika kutarajia mambo yajayo au yaliyopita.
Ni hakika kuwa kila Jambo hutokea kutokana na Jambo lililopo.
Kesi ya Tundu Lisu haina maslahi na taifa letu. Zaidi naona ni hasara kwetu.
Hasara kwa serikali
Hasara kwa waliomkamata.
Hasara kila sehemu.
Viongozi wenye maamuzi jitahidini kufungua masikio msikie kile ninachowaambia. Wanaoshauri Lisu aendelee kubaki ndani wanafanya hivyo bila kuangalia faida na hasara.
Hawaangalii mbele kuna nini na pengine sio rahisi kusoma patterns za matukio.
Lisu umri wake sio tishio. Tayari anaimaliza robo ya tatu ya maisha yake.
Umri haupo upande wake. Hivyo kumpiga chura teke Kwa kumpa nguvu na umashuhuri ambao haukutakiwa yalikuwa maamuzi yasiyosahihi.
Kwa akili za watanzania wengi. Tundu Lisu hata angepewa miaka 30 zaidi watanzania wengi bado wasingemuelewa.
Sasa ikiwa ni hivyo, kwa nini kupata hasara na kuchafua jina la nchi kimataifa.
Hakukuwa na umuhimu.
Hii kesi ya Lisu italeta Mambo Mengi Sana
Alafu serikali lazima ielewe. Je Lisu anachukuliaje kuwa Mahabusu na kupewa mashtaka ya aina hiyo?
Je kwa Lisu ni advantage?
Je ni sehemu ya mipango na mikakati ya Lisu mpaka hatua hii? Kwamba serikali inaona inamkomoa kumbe wapo kwenye playlist ya Lisu?
Je Lisu anafurahia au anajuta kwa hatua iliyopo?
Je mpaka sasa nguvu ya Lisu ndani na Nje ya nchi imepungua au imezidi?
Je ni nini Lisu anakikosa kwenye harakati zake na kitu hicho atakipata au Kitaaktivetiwa na uwepo wake mahabusu?
Kama ni sapoti ya mataifa makubwa, je uwepo wa lisu gerezani utazuia sapoti ya harakati zake au atabustiwa?
Kama ni Mimi, baada ya kufanya Makosa ya kumuweka ndani, mapema mno baada ya kugundua nimepuyanga ninge-abort huo mpango. Na kumtoa na kuandaa mpango mwingine.
Haya! Ngoja tuone!
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Tuupe muda wakati maana kama ni kukoma basi wameshakoma
Mpaka uwe na uwezo wa kuchambua mambo, sio mipasho.
Kwa sasa hivi bado kuna kigugumizi kwa sababu tayari wameshaharibu sana kwenye suala hili. Wanaona aibu, kwani tayari dili lao haramu limeshitukiwa mapema na tayari wameharibu Sana beyond repair.
Isifike Mbali.
Hii kesi inaleta mambo mengi ambayo namini hata serikali yenyewe haikutarajia.
Kwa sasa tumefikia kukimbizana na wakenya.
Hatujui wakati ujao nini kitajiri
Kifalisafa wamefeli Sana .
Kwakuwa Lissu kuwa ndani na Lissu kuwa nje wangeangalia faida na hasara ikiwa hasara ni nyingi basi wangemuacha na faida ni nyingi wangemkamata.
Ila sasa unamkamata kwa kosa gani lakubumba au kosa halisi la kweli .?
Binafsi sisiemu Ina watu wajinga Sana kuwahi kutokea duniani.
MTU unapokuwa unapambania madaraka lazima utofatishe Adui yako na mpinzani wako.
Ila wanachofanya sisiemu wana Offend the wrong Enemy .
Hawajifunzi
The Rise, Shine and Fall of CCM: The Beginning of the End!
Remember: The higher you climb the harder you'll fall!
Mimi nashauri wakaze tu tuone mwisho wake.
Ni kweli Kabisa.
Lisu kuwa ndani hakujazuia harakati zake na hakujaathiri nguvu zake zaidi kunamuimarisha.
Anazidi kupata attention hata na watu wa kimataifa ambao walikuwa hawamjui.
Lisu kuwa nje ya gereza kunamfanya awe Local, lakini kuwa ndani ya gereza kunamfanya kuwa wakimataifa.
Lisu kuwa nje ya gereza wala vyombo vya habari vya kimataifa visingekuwa na habari naye.
Vya ndani tunajua haviwezi kumpa promo, na hiyo automatically ingemfanya kuwa mchezaji wa ndondo Cup.
Kumuweka Ndani ni kumpa nafasi acheze Club bingwa Duniani.
Hayo ni makosa
Pia kunaNi kweli Kabisa.

Twende mpaka mwisho, vinginevyo serikali ikijisikia itamkamata Heche imuweke ndani kwa miezi kadhaa halafu inamuachia, anakamatwa Golugwa anaachiwa ni kupoteza muda, pesa na mengine mengi...hii tabia inabidi iishe.Uwezo wakukaza hawana.
Huwezi ukakaza kwenye hasara kama upo timamu.
Your wasting your time And energy.Alishasema yeye ni chura kiziwiMpo Salama bila Shaka!
Sio kila wakati au kila Jambo mabavu na ubabe ni suluhu ya matatizo.
Mwaka Jana niliwahi kuandika hapa Pre GE2025 - Matukio yanayoongoza wakati huu ni utekaji, mauaji, teuzi, maandamano na kesi. Je, nini kinafuata?
Ni juzi tuu wala sio Mbali.
Wataalamu wa mambo yajayo hasa watabiri, waganga wa kienyeji, majasusi mara nyingi huongozwa na patterns katika kutarajia mambo yajayo au yaliyopita.
Ni hakika kuwa kila Jambo hutokea kutokana na Jambo lililopo.
Kesi ya Tundu Lissu haina maslahi na taifa letu. Zaidi naona ni hasara kwetu.
Hasara kwa serikali
Hasara kwa waliomkamata.
Hasara kila sehemu.
Viongozi wenye maamuzi jitahidini kufungua masikio msikie kile ninachowaambia. Wanaoshauri Lisu aendelee kubaki ndani wanafanya hivyo bila kuangalia faida na hasara.
Hawaangalii mbele kuna nini na pengine sio rahisi kusoma patterns za matukio.
Lissu umri wake sio tishio. Tayari anaimaliza robo ya tatu ya maisha yake.
Umri haupo upande wake. Hivyo kumpiga chura teke Kwa kumpa nguvu na umashuhuri ambao haukutakiwa yalikuwa maamuzi yasiyosahihi.
Kwa akili za watanzania wengi. Tundu Lissu hata angepewa miaka 30 zaidi watanzania wengi bado wasingemuelewa.
Sasa ikiwa ni hivyo, kwa nini kupata hasara na kuchafua jina la nchi kimataifa.
Hakukuwa na umuhimu.
Hii kesi ya Lissu italeta Mambo Mengi Sana
HAlafu serikali lazima ielewe. Je Lissu anachukuliaje kuwa Mahabusu na kupewa mashtaka ya aina hiyo?
Je kwa Lissu ni advantage?
Je ni sehemu ya mipango na mikakati ya Lisu mpaka hatua hii? Kwamba serikali inaona inamkomoa kumbe wapo kwenye playlist ya Lissu?
Je Lissu anafurahia au anajuta kwa hatua iliyopo?
Je mpaka sasa nguvu ya Lissu ndani na Nje ya nchi imepungua au imezidi?
Je ni nini Lissu anakikosa kwenye harakati zake na kitu hicho atakipata au Kitaaktivetiwa na uwepo wake mahabusu?
Kama ni sapoti ya mataifa makubwa, je uwepo wa lisu gerezani utazuia sapoti ya harakati zake au atabustiwa?
Kama ni Mimi, baada ya kufanya Makosa ya kumuweka ndani, mapema mno baada ya kugundua nimepuyanga ninge-abort huo mpango. Na kumtoa na kuandaa mpango mwingine.
Haya! Ngoja tuone!
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Your wasting your time And energy.Alishasema yeye ni chura kiziwi