Nashauri Serikali isitishe ujenzi wa daraja la Busisi, SGR na Makao Makuu Dodoma

Watanzania wengi wana wivu sana. Right uchawi ungekuwa ni rahisi wengi wangekuwa wachawi. Wachawi walio wengi hawapendi maendeleo wanapenda uchafu uchafu.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Ungekuwa mfanyabiashara au mmiliki wa maroli ,mabus ungeona umuhimu wake.
Busisi ni upotevu wa fedha. Hilo daraja ilipaswa kupelekwa Kigoma. Lkn jini jiwe alipumbazwa na ukabila. Alikuwa mbaguzi sana yule
 
Jambo la manufaa ni kuachana na ununuzi wa ndege
 
Busisi ni upotevu wa fedha. Hilo daraja ilipaswa kupelekwa Kigoma. Lkn jini jiwe alipumbazwa na ukabila. Alikuwa mbaguzi sana yule
Kigoma kwenda Congo ni kilometa ngapi?
 
Kwa hiyo kama alikosea na wengine wakosee, then atakayekuja naye atelekeze aanze kivingine, ni vizuri waliopo sasa waweke mfumo wa kuendeleza walipoishia wengine...

Huo mfumo utakuja tukiridhia kumalizia katiba yetu iliyopendekezwa ama sivyo kila leo tutakuwa tunarudia makosa yale yale!!!
 
Hivi hujajifungua tu wewe dada? Naona mimba inakusumbua sana.
 
The legacy of JPM will never be erased... NEVER!!!
Get to know that the legacy of JPM is easily eraseable and quickly varnishing.

And lucky enough people who were his aides or flanking him are the ones scolding him publicly.
 
Mimi napendekeza projects zote ziendelee lakini ukweli Ni kwamba Billion 700 za kujenga daraja zingefanya mambo mengine makubwa kama kuondoa tatizo la maji mwanza
 
Kama ulivyo sexless na kichwani pia ni brainless
 

unaliwa nyuma wewe
 
Nonsense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…