Nashauri Serikali isitishe ujenzi wa daraja la Busisi, SGR na Makao Makuu Dodoma

Nashauri Serikali isitishe ujenzi wa daraja la Busisi, SGR na Makao Makuu Dodoma

Mkuu ifike mahali wastishe kila kitu ambacho kulifanywa awam ya 5 ila waje ma genuine ambao watakuwa na vitu vipya awamu ya sita, kiukwel tumechoshwa na kusikia watu wanavyo mu- underline Mwamba,

Ushauri wangu wasitishe kila kitu, ada za shule zirudi, reli iishie hapo, madaraja makubwa yaachwe!, Cjui vyote viachwe maana awamu ya 5 haikuwa na Cha maana, kulikuwa na uonevu, ukandamizaji wa democracy, uuwaji, unyonyaji , Rushwa ilishamili, kulikuwa hakuna uwajibikaji n.k,

Wawafungulie kesi wote waliokuwepo awam ya 5, ikiwezekana adhabu ya kunyongwa iwe ndo adhabu ya juu, na hvyo nchi itakuwa salama maana watu wa haki watakuwa wameingia, ma genuine, watetz wa wanyonge, wawajibikaji, wanaojua kuendesha nchi vzr..
Boniphace hajui kuwa awamu ya 6 ndio hiyo ya awamu 5, Waziri Mkuu yule yule, Spika wa Bunge yule yule, Jaji Mkuu yule yule Rais wa sasa ndiye yule alikuwa Makamu wa Rais.
 
Kwa mujibu wa Nape Nnauye nchi yetu inatumia shilingi bilioni 800 kwa mwezi kulipa madeni. Halafu shilingi bilioni 600 hutumika kila mwezi kulipa mishahara ya watumishi serikalini.

Lakini makusanyo kwa mwezi ni kati ya trilioni 1.2 - 1.3 kwa mwezi. Hivyo fedha hazitoshi kuendelea na miradi yote hiyo. Tunapaswa kama taifa kuachana na miradi mikubwa isiyo kuwa na tija.

1. Daraja la Busisi tuachane nalo kabisa. Kwasbb halitarajiwi kuleta tija yoyote ya kiuchumi hata likikamilika maana linaenda kijjjini (interior) Busisi. Mabilioni ya fedha yatapotea bure kabisa!

2. Ujenzi wa makao makuu Dodoma usitishwe hadi hapo serikali itakapokuwa na uwezo wa kifedha.

3. SGR iishie Morogoro hapo hapo panatosha. Awamu ya 8 itakuja kuendeleza kutoka Morogoro kwenda mbele.

4. Ndege zilizonunuliwa zinatosha. Ndege 5 ambazo ziko kwenye mpango wa kuongezwa ifikapo 2023 tuachane nazo.

N.B. JNHPP ndiyo mradi pekee ambao inabidi tuendelee kupambana nao kwa sasa maana karibia utakamilika. Japo kuna changamoto ya tabia nchi

Natanguliza shukurani endapo ushauri wangu utafanyiwa kazi.

UPDATES; .....,.....................................
Kuna utetezi dhaifu Sana kwamba daraja la Busisi linaunganisha nchi za Rwanda na Burundi. Kigoma wasemeje Sasa?

Hata kwa upande wa SGR.
40% ya miizigo toka bandari ya DSM inasafirishwa kupitia Kigoma. Mwanza inapitisha 10% tu. Kulikuwa na sababu gani ya kupeleka SGR Mwanza badala ya Kigoma? Jibu ni moja tu....ukabila na upendeleo.
Haya ndiyo yanayoitwa mawazo yaliyofilisika, mawazo ya kimaskini.

Unachoshindwa kukielewa ni faida ya hiyo miradi itakapokamilika, unaiangalia leo hii tu.

Unashindwa kuoanisha uwepo wa daraja la busisi na urahisi wa maisha utakaokuwepo kati ya Mwanza na Sengerema.

Unashindwa kuoanisha uwepo wa ndege zinazoruka na ukuaji wa uchumi wa Tanzania na ufungukaji wa nchi kwa maana ya mtalii kutoka Norway au Denmark moja kwa moja akatua Mwanza au Iringa.

Tafuta mtaalam wa uchumi akupe elimu ya faida ya ujenzi unaoendelea nchi nzima.
 
Boniphace hajui kuwa awamu ya 6 ndio hiyo ya awamu 5, Waziri Mkuu yule yule, Spika wa Bunge yule yule, Jaji Mkuu yule yule Rais wa sasa ndiye yule alikuwa Makamu wa Rais.
Akishaapishwa rais mpya ni awamu mpya hata kama mawaziri ni wale wale. Kile kitendo cha yeye kuapa maana yake ni uongozi mpya wenye maono mapya na ustaarabu mpya unakuwa umeingia kazini.
 
Wazazi wako wanajuta sana kuzaa mtoto kama wewe... laana ya kudharau wazazi ndo kama hizi... eeh Mungu nisaidie tu nisiwe mbinafsi kiasi hiki.
 
urahisi wa maisha utakaokuwepo kati ya Mwanza na Sengerema.
Wilaya masikini kabisa hazitaruduaha hata gharama za ujenzi wa hilo daraja mpk litakapokufa.

Tulitaka likajengwe sehemu ambayo faida yake ni kubwa. Siyo kuungqnisha wilaya hizi zenye hadhi ya vijiji.
 
Wilaya masikini kabisa hazitaruduaha hata gharama za ujenzi wa hilo daraja mpk litakapokufa.

Tulitaka likajengwe sehemu ambayo faida yake ni kubwa. Siyo kuungqnisha wilaya hizi zenye hadhi ya vijiji.
Tatizo lile lile la dharau za kitanzania. Unajua Mungu ameweka nini chini ya ardhi ya eneo lile?.
 
Mtoa Uzi hajui mkoa ulio karibu na Uganda, Burundi na Mwanza.
Ngoja nikuelimishe. Hapo kwenye GPS spot (red) ndiyo daraja la Busisi lilipo. Unaona kulivyo mbali na nchi ulizotaja??

Halafu angalia jinsi Kigoma ilivyokaa karibu (and strategically) kuingiliana na nchi kama Burundi, Rwanda na DRC.

Jiwe was a problem. Busisi isitishwe kujengwa.

Screenshot_20211222-134430_1.jpg
 
Tatizo lile lile la dharau za kitanzania. Unajua Mungu ameweka nini chini ya ardhi ya eneo lile?.
Alichokiweka Mungu mbona hakijasaidia chochote kwa wakazi wa wilaya hizo ? Zaidi ya kuwafanya wawe wanaongoza kwa takwimu za kansa kitaifa.
 
Alichokiweka Mungu mbona hakijasaidia chochote kwa wakazi wa wilaya hizo ? Zaidi ya kuwafanya wawe wanaongoza kwa takwimu za kansa kitaifa.
Punguza dharau mkuu, maendeleo huleta maendeleo mengine. Usiwe na dharau za ukanda wala ukabila hauwezi kukusaidia.
 
Punguza dharau mkuu, maendeleo huleta maendeleo mengine. Usiwe na dharau za ukanda wala ukabila hauwezi kukusaidia.
Ukabila unautaja wewe mkuu. Mm hakuna hata neno moja ktk maandishi yangu nilipolitweza kabila hapo.

Hoja yangu ni kwann daraja lijengwe Busisi badala ya Kigoma kqma lengo ni kurahisisha usafiri baina ya nchi kama Rwanda , Burundi na DRC?

Angalia ramani hapa chini. Red (GPS spot) ndiyo Busisi. Halafu angalia na ilipo Kigoma. Jiwe!!?

View attachment 2053463
Ukitaka kwenda USA inakulazimu upitie Amsterdam, kwa nini usipitie Congo ?
Vivyo hivyo ukitaka kwenda Kigoma lazima upitie Busisi ambako kuna biashara na watu .
Huwezi chanja mbuga na mapori kisa unawahi kigoma.
Kibiashara watu ni muhimu.
Busisi 3Million, musoma , Geita hadi kigoma traffic ni kubwa kuliko nzega, Ambapo kahama (5laki), Nyakanazi to kigoma.
Pia viwanda vya Mwanza , migodi inalazimisha movement tofauti na mapori ya nyakanazi yaliyo jaa nyuki.
Ki geografia ziwa viktoria bandari yake iko Mza, ofisi zote za east Afrika to Rwanda and Congo ziko Mza. Ambayo ni bususi.
 
Magufuli alikuwa akili kubwa sana ,nyumbu wasingemwelewa milele
 
Mleta mada ni kuwa hujui ramani ya nchi yako na watu wake au ni unongozwa na chuki kwa mtu binafsi na sio jambo jingine
 
Kwa sababu hakuna walipa kodi wanaoishi huko. Only idiot will denounce this construction.
Mkuu take it from me daraja la Busisi halitakaa likamilike. Ushauri wangu ushapokelewa.
 
Mkuu take it from me daraja la Busisi halitakaa likamilike. Ushauri wangu ushapokelewa.
Jikite zaidi kwenye mada zako za namna na jinsi ya kukaza uchi usilegee ,swala la daraja la busisi we liache kama lilivyo, kama hatalijenga samia ata wanaanchi wa bukumbi adi sengerema watajenga kwa mikono yao wenyewe kamwe haturudi nyuma.
 
kama hatalijenga samia ata wanaanchi wa bukumbi adi sengerema watajenga kwa mikono yao wenyewe kamwe haturudi nyuma.
Kwa hela gani mlonayo ? Wilaya zenyewe zina hadhi ya vijiji hizo
 
Back
Top Bottom