Nashauri Serikali isitishe ujenzi wa daraja la Busisi, SGR na Makao Makuu Dodoma

Akili za taahira hizi!!
 
Hapo panapojengwa daraja kuna kivuko kinachotumia muda kuvusha magari machache kwa wakati. Magari hayo ni pamoja na ya mizigo kwenda na kutoka nchi za jirani ulizozitaja
Ujinga wa mchangiaji unadhihirisha umahiri wa JPM,mbona daraja la wami limejengwa wakati kulikuwa na daraja tayari au kwa kuwa linaelekea moshi?ukifika kigongo ndiyo utajua shida iliyopo hapo,Kodi ni kwa maendeleo ya nchi.
 
Ujinga wa mchangiaji unadhihirisha umahiri wa JPM,mbona daraja la wami limejengwa wakati kulikuwa na daraja tayari au kwa kuwa linaelekea moshi?ukifika kigongo ndiyo utajua shida iliyopo hapo,Kodi ni kwa maendeleo ya nchi.
Ni mpumbavu sana huyo jamaa
 
Sawa lkin pia umefikiria hadi sahii ni kias gan tayar jishatumika kwenye hiyo miradi unataka isitishwe? Je utatilipa wew hizo pesa ili kutufidia ambazo tayar zimetumika? Kuna mradi mmoja ambao nakuunga mkono uachwe, mradi wa ununuz wa ndege ndo hauna tija

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
 
Binafsi sioni tija yoyote kutumia mabilioni ya shilingi kujenga daraja kwenda Busisi. Kiuchumi hailipi. JPM alipumbazwa na upendeleo wa ukabila.
Sio kila hoja ni siasa.
Tambua Mwanza ni makao makuu ya kanda ya ziwa ni lango kuu la Uganda na Kenya kwa kupitia Ziwa Victoria
Daraja la busisi linaunganisha Mwanza na mikoa kadhaa kama Geita, Kagera, Kigoma, nk.
Maana yake ni kwamba unakuwa umeunganisha Mwanza na nchi za Rwanda, Burundi, Congo na Uganda kwa urahisibila kuzungukia Shinyanga Tinde Kahama mpaka Nyakanazi.
Yeyote anayefahamu Daraja hili anajua umuhimu wake
 
Binafsi sioni tija yoyote kutumia mabilioni ya shilingi kujenga daraja kwenda Busisi. Kiuchumi hailipi. JPM alipumbazwa na upendeleo wa ukabila.
Wote mnacoment ujinga mtupu.

Mnaongelea theory wakati hata hiyo Busisi hamuijui.

Shwine nyie
 
Sasa kama inakuwa ndiyo lijengwe daraja la mabilioni kwenda kijijini Busisi? Acha kupumbazwa na ukabila
Wee jamaa una uelewa mdogo sasa.... hili sio daraja la kijiji wala haliunganishi kijiji tu. Au unataka kutuaminisha daraja la Wami limejengwa ajili ya kijiji cha Wami?
Daraja la Busisi linaunga Mwanza na mikoa ya Geita, Bukoba, Kigoma.
Pia Linaunga mwanza na Nchi za Congo, Burundi, Rwanda, Uganda.
Kinyume chake itawalazimu wavuke kwa Pantoni au warudi nyuma wapite Shinyanga wakatie Tinde Kupitia Kahama.
Yeyote anayebeza umuhimu wa hili Daraja hajapita njia hiyo... Sana sana anatutangazia ujinga alionao kichwani..
 
It is true that you are sexless
 
Daraja la Busisi linaunga Mwanza na mikoa ya Geita, Bukoba, Kigoma.
Pia Linaunga mwanza na Nchi za Congo, Burundi, Rwanda, Uganda.
Acha uwongo. Kama siyo ukanda na ukabila wa lile jini lenu nchi hizi zinaunganishwa kwa gharama ndogo kwa kujenga daraja fupi sana pale Kigoma.

Lile jini bora lilivyokufa, lilikuwa linaharibu nchi
 
Kama makusanyo ni 1.2 na MATUMIZI ya mishahara ni 800bn na mikopo na riba ni 600 bn.

Kuna wakati makusanyo halisi hayafiki 1.2 Hii Ina maana gani:

Nchi inaenda kukopa Ili kulipa madeni ya nyuma na kufidia upungufu wa malipo ya mishahara.

Tunaelekea DEPRESSION, tutauzwa, mikopo mibaya.

Hatua za haraka Zichukuliwe na wenye akili.
 
Nashauri miradi iendelee.

Tutafuata kiongozi mwingine aje na mbinu mpya za kusaidia UTAJIRI tulionayo utunufaishe.

Ameeeen
 
Kwahiyo Nape anatuambia kuwa nchi imefilisika? Matumizi ni makubwa kuliko mapato? Nchi hii tatizo kubwa ni kushindwa kutumia vyema mapato... Miaka miwili nyuma Nape asingethubutu kwenda mtaani kukagua anwani za makazi Kwa chopa la kukodi... Au viongozi wanavyoshindana kwenye vip hotels kufungua nchi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…