Nashauri Serikali isitishe ujenzi wa daraja la Busisi, SGR na Makao Makuu Dodoma

Toa sababu za msingi za kusitisha hiyo miradi, vinginevyo bila hoja za msingi ni kelele tu. Huwezi kusitisha miradi hiyo wakati zaidi ya nusu ya gharama za miradi zilishalipwa, utakuwa wendawazimu tu.
 
Wewe utakuwa ni mkazi wa hicho kijiji cha Busisi ndiyo maana unatetea upuuzi wa jini jiwe.

Unapelekaje mabilioni ya shilingi kujenga daraja kuungqnisha vijiji vya ukweni kwake vyenye wakazi 300?? Jini jiwe mpuuzi sana
Geography F
 
Duh
Jikite zaidi kwenye mada zako za namna na jinsi ya kukaza uchi usilegee ,swala la daraja la busisi we liache kama lilivyo, kama hatalijenga samia ata wanaanchi wa bukumbi adi sengerema watajenga kwa mikono yao wenyewe kamwe haturudi nyuma.
 
Kodi hazikusanywi , mapato yanapotea
 
Sema SGR wanawanyima wakaazi pande mbili za reli haki ya kuwasiliana kwa kuwatenganishia na uzio bila kuwawekea understanding tunnel yaani makaravati ya kuvukia chini ya reli. Kama walivyowawekea wanyama wa porini na mifugo makaravati ya kuvukia chini ya reli. KWA sababu wao wanakaa masaki na osterbay hayawahusu. Kuna shule, masoko, stand za daladala, nyumba za ibada nk hivi vinalazimisha wakaazi wa pande zote mbili kuingiliana SAsa kuwawekea uzio wasiwasiliane ni kinyume na haki za binadamu.
 
nadhani wazo zuri ni serikali kukopa na kujenga miundombinu ya kimkakati sio kusitisha. we need to think big kama wameshindwa wawapishe wengine!!
 
Mi maono yangu huu mzigo awamu hii ngoma imewaelemea au mnaonaje...???
 
Hata Busisi hupajui unapayuka hapa tù! Hivi kisa kwa wasukuma Roho zinawauma? Hujui kuwa Mwanza anakua kwa kasi na inaifatia Dar kiuchumi? Au wangejenga Dar au kaskazini ungekuwa unachekelea hapa! Mbona hujazungumzia daraja la mto Wami kusitishwa?
Usukuma/ukabila unakujaje hapa? SGR endapo itaisha ina manufaa makubwa mno kiuchumi. Hakika, Mwanza, Kigoma, na kwngineko mizigo itafika kwa wakati. Abiria Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora, Mpnada, Kigoma, Shinyanga, Mwanza, Bariadi, Musoma na maeneo ya jirani tutatumia muda mfupi njiani kuendelea na uzalishaji mali badala ya kukaa njiani siku mbili na uchovu juu. Huko Busisi simo. JNHPP ni ya lazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…