Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi sioni tija yoyote kutumia mabilioni ya shilingi kujenga daraja kwenda Busisi. Kiuchumi hailipi. JPM alipumbazwa na upendeleo wa ukabila.
Geography ulipata fTatizo watumiaji ni wanakijiji msiozidi 300 halafu mnasafirisha kuku na viazi. Hakuna faida
Kumbe hujamsoma bado mkuu…
Huyu anabifu na jiwe sijui alimbana wapi walahi…anaweweseka tu…akili kaiweka mfukoni anatoa mapovu ya chuki tu…
Maana yake sio ke na sio me, ana mvurugano wa hormonesInaonekana siyo tu kwamba wewe ni sexless lakini pia wewe ni brainless. Yaani uko less kwa mambo mengi . You are also a visionless and a planless.
Kumbe una ukabila kuliko huyo marehemu unayemchukiaWatu wenyewe watu Sasa!?
Geography FWewe utakuwa ni mkazi wa hicho kijiji cha Busisi ndiyo maana unatetea upuuzi wa jini jiwe.
Unapelekaje mabilioni ya shilingi kujenga daraja kuungqnisha vijiji vya ukweni kwake vyenye wakazi 300?? Jini jiwe mpuuzi sana
Chuki imempofusha, ametumwaKigoma kwenda Congo ni kilometa ngapi?
Anaowaongelea pole pole unawajua usidanganye watuBusisi haina tija. Ninyi ndiyo wahuni ambao Polepole anawaongelea
Jikite zaidi kwenye mada zako za namna na jinsi ya kukaza uchi usilegee ,swala la daraja la busisi we liache kama lilivyo, kama hatalijenga samia ata wanaanchi wa bukumbi adi sengerema watajenga kwa mikono yao wenyewe kamwe haturudi nyuma.
Kodi hazikusanywi , mapato yanapoteaKama makusanyo ni 1.2 na MATUMIZI ya mishahara ni 800bn na mikopo na riba ni 600 bn.
Kuna wakati makusanyo halisi hayafiki 1.2 Hii Ina maana gani:
Nchi inaenda kukopa Ili kulipa madeni ya nyuma na kufidia upungufu wa malipo ya mishahara.
Tunaelekea DEPRESSION, tutauzwa, mikopo mibaya.
Hatua za haraka Zichukuliwe na wenye akili.
Jiwe hafai..Mama anaupiga mwingiNyinyi na huyo bibi ako Samia mmeshafeli mnatapatapa daraja la Busisi linaenda kijijini akili yako imejaa kamasì! Si mlimuona Magufuli hafai amewaachia muendelee na Msoga wenu!
kongwengomeNgomekongwe
Usukuma/ukabila unakujaje hapa? SGR endapo itaisha ina manufaa makubwa mno kiuchumi. Hakika, Mwanza, Kigoma, na kwngineko mizigo itafika kwa wakati. Abiria Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora, Mpnada, Kigoma, Shinyanga, Mwanza, Bariadi, Musoma na maeneo ya jirani tutatumia muda mfupi njiani kuendelea na uzalishaji mali badala ya kukaa njiani siku mbili na uchovu juu. Huko Busisi simo. JNHPP ni ya lazima.Hata Busisi hupajui unapayuka hapa tù! Hivi kisa kwa wasukuma Roho zinawauma? Hujui kuwa Mwanza anakua kwa kasi na inaifatia Dar kiuchumi? Au wangejenga Dar au kaskazini ungekuwa unachekelea hapa! Mbona hujazungumzia daraja la mto Wami kusitishwa?