Nashauri Serikali isitishe ujenzi wa daraja la Busisi, SGR na Makao Makuu Dodoma

Mbona Daraja la Busisi linakaribia kuisha.
Mbona SGR inakaribia Makutupora ya Singida na nyingine imeanzia Mwanza kuelekea Isaka.

Mbona Serikali nzima ipo Dodoma na Mji wa Magufuli unaendelea kukamilishwa.
 
Point of correction - Daraja haliendi Busisi, daraja linajengwa sehemu inaitwa Busisi na magari yanayopita hapo yanaweza kwenda hadi Burundi, Rwanda na Uganda.
Mpumbavu huyo hajui ata nchi yake anaongea yale anayoyawazi kwa nyuma.
 
Asante mkuu. Wenye akili mko wachache sana nchi hii
 
Kwa Sasa. Kati ya Mwanza na Kigoma wapi Kuna mizigo mingi toka DSM. Jibu ni Mwanza. Kuna semi trailer ngapi zinaenda Kigoma Leo jibu si zaidi ya kumi. Hivyo demand ni ndogo. Kigoma inakwamishwa na Ziwa Tanganyika. Leo Warundi wanapitisha mizigo yao Kahama Kabanga ndani.
 
Msenge sana we jamaa
 
Kabisa JPM alikuwa anakwenda kuua nchi hii kama angeendelea kuishi. Hivi kwamfano lile daraja la Tanzanite Dar lina maana gani kuwepo kwa gharama zile kubwa mno za kujenga baharini? Ni sawa na Busisi nk.
Jiwe alikuwa mwendawazimu. Kuamua kumwaga mabilioninya pesa Busisi.
 
Swali fikirishi mkataba ukivunjwa inakuwaje
 
Hata Busisi hupajui unapayuka hapa tù! Hivi kisa kwa wasukuma Roho zinawauma? Hujui kuwa mwanza anakua kwa kasi na inaifatia Dar kiuchumi? Au wangejenga Dar au kaskazini ungekuwa unachekelea hapa! Mbona hujazungumzia daraja la mto wami kusitiswa?
Angalia kwanza mtu mwenyewe unaebishana nae!
 
Daraja la Busisi ni muhimu sana na litaleta tija.

Umeshawahi kwenda Busisi au kuvuka tuu pale?
 
Nyinyi na huyo bibi ako Samia mmeshafeli mnatapatapa daraja la Busisi linaenda kijijini akili yako imejaa kamasì! Si mulimuona Magufuli hafai amewaachia muendelee na Msoga wenu!
Na wewe mfuate huyo magufuli huko aliko na sisi tubaki na bibi yetu ni kweli magufuli alikuwa hafai kabisa kabisa
 
Hata Busisi hupajui unapayuka hapa tù! Hivi kisa kwa wasukuma Roho zinawauma? Hujui kuwa mwanza anakua kwa kasi na inaifatia Dar kiuchumi? Au wangejenga Dar au kaskazini ungekuwa unachekelea hapa! Mbona hujazungumzia daraja la mto wami kusitiswa?
Tuliza hasira sasa busisi kuna nn
 
Naomba nikupe ushauri wa bure.

Kabla hujaleta hoja nzito kama hii fanya utafiti kidogo na hii itakusaidia kuwa kando na mihemko ambayo unaweza kuwa nawewe umeiokota tu kwenye soga.

Na hiki ulichokiandika kinaongea jambo, ulishawahi kujenga hata banda la kuku kweli?
 
Brainless cacophonous

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…