Nashauri Serikali isitishe ujenzi wa daraja la Busisi, SGR na Makao Makuu Dodoma

Inasikitisha sana kugundua hizi ndio akili za vijana wetu wa kizazi hiki. Vijana wanaoshauri mradi mkubwa na wa kimkakati kama SGR uishie Morogoro kisha wanashupaza shingo kushauri bandari ya Bagamoyo ijengwe! Hiyo bandari ina manufaa gani bila reli ya kisasa yenye kufikisha mizigo katika mataifa ya Kongo, Burundi, Rwanda na hata Uganda? Mizigo hiyo itafika vipi huko kama reli ikiishia Morogoro?

Kijana unasema mradi wa JNHPP utaathiriwa na mabadiliko ya tabia nchi! Hivi unajua mto Nile unahudumia miradi mikubwa kiasi gani ya umeme kwa mataifa ya Ethiopia na Misri? Unaujua "Mto Ruaha mkuu" wew? Au unadhani kwanin uliitwa "Ruaha mkuu"?
Kama hii ndio aina ya wasomi na vijana tulionao basi taifa letu bado lina safari ndefu sana
 
Akili za nyumbu hizo.
 
Kumbe kuna kivuko?? Halafu jiwe anajenga na daraja?? Huu ni upendeleo.
Unashangaa kivuko na daraja!! Unashindwa kujiongeza kwamba Daraja likikamilika litasimama badala ya kivuko! Mbona husemi kule masaki na Osterbay kuna barabara ya lami safi na bado limejengwa daraja! Wamejenga daraja la kwenda beach [emoji3][emoji3], vipi kigamboni hushangai kuna kivuko na daraja, tena daraja ambalo aliunganishi mkoa wowote.
 
Hapana linaendelea vizuri sana
 
Kuhusu daraja la busisi, ningeshauri mleta maada aelimishwe umuhimu wa daraja hilo ili asiendelee kupotosha wasiolijua kama yeye
 
Inaonekana siyo tu kwamba wewe ni sexless lakini pia wewe ni brainless. Yaani uko less kwa mambo mengi . You are also a visionless and a planless.
 
Binafsi sioni tija yoyote kutumia mabilioni ya shilingi kujenga daraja kwenda Busisi. Kiuchumi hailipi. JPM alipumbazwa na upendeleo wa ukabila.
Hata Ukimkwamua mtu mmoja tu, hio tayari ni faida kiuchumi.
Je, daraja la busisi litawakwamua watu wangapi?
 
kwa hiyo kama alikosea na wengine wakosee, then atakayekuja naye atelekeze aanze kivingine, ni vizuri waliopo sasa waweke mfumo wa kuendeleza walipoishia wengine...
Ndio maana swala la katiba mpya ni muhimu sana
 
Nikijibu kufuatana na kichwa cha mada uliyoleta hapa nasema: Huna akili nzuri wewe, pengine ni mwenda wazimu, kichaa au chizi!
 
Mamayeee aliye Nyambizi NGAWIRA HIII AJISALIMISHE
...
 
Salute Generally..ila NSSF bhsna Runda..
 
Salute Generally...wamenikera sana NSSF...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…