Nashauri Serikali isitishe ujenzi wa daraja la Busisi, SGR na Makao Makuu Dodoma

Ngozi nyeusi ina ngonjera sana maneno mengi vitendo zero! Mwanaume aliamua na akaanza kutekelaza!
 
We ni raia wa wapi? Kwani hiyo reli inaanzia mwanza na kuishia mwanza?
Kuanzia mwanza mpaka dar pote ni usukumani?

Wakisha iacha hiyo miradi watatekeleza ipi ambayo unadhani ni ya muhimu hapa nchini?
 
Utakuwa unaishi Busisi wewe. Serikali ipo Dar.
Nipo kisiwani Lyakanyasi lakini najua Serikali yote ipo Dodoma. Kuna siku sisi wavuvi tulikuja kuonana na Waiziri wa Mifugo na Uvuvi nikaona Ofisi zote za Serikali zipo pale Mtumba Dodoma. Tena sehemu ipo nje ya mji na inapendeza sana.

Tulionyeshwa pia Ikulu wanapaita Chamwino na nikaona nyumba ya Waziri Mkuu. Dodoma inapendeza
 
Kwa mujibu wa Nape Nnauye nchi yetu inatumia shilingi bilioni 800 kwa mwezi kulipa madeni. Halafu shilingi bilioni 600 hutumika kila mwezi kulipa mishahara ya watumishi serikalini.
Wewe ni mwehu haijawah tokea
 
nikaona Ofisi zote za Serikali zipo pale Mtumba Dodoma.
Kuwepo ofisi kwa maana ya majengo haina maana yoyote. Ungesema watendaji wa ofisi hizo walikuwepo ningekuelewa
 
Alikuwa anapora fedha za watu. Mama hataki kupora (dhulma). Hukusikia Sabaya akijitetea kwamba alitumwa na Jiwe, Mpango na prof. Luoga (bosi wa BOT)??. Jiwe alikuwa mwizi.
Kwani Magufuli alikuwa anapata wapi pesa?
 


CAG mstaafu ameshauri tuanze kuhakiki madeni ya awamu ya nne ili tuende sawa. Tuache kuchezeana akili. Naona Nape anahangaika na awamu moja tu, kama vile awamu nyingine mambo yalikuwa buli buli. Mkwamo wake wa awamu moja ni mikwamo ya watu wengine wa awamu kadhaa
 
Mkuu ifike mahali wastishe kila kitu ambacho kulifanywa awam ya 5 ila waje ma genuine ambao watakuwa na vitu vipya awamu ya sita, kiukwel tumechoshwa na kusikia watu wanavyo mu- underline Mwamba,

Ushauri wangu wasitishe kila kitu, ada za shule zirudi, reli iishie hapo, madaraja makubwa yaachwe!, Cjui vyote viachwe maana awamu ya 5 haikuwa na Cha maana, kulikuwa na uonevu, ukandamizaji wa democracy, uuwaji, unyonyaji , Rushwa ilishamili, kulikuwa hakuna uwajibikaji n.k,

Wawafungulie kesi wote waliokuwepo awam ya 5, ikiwezekana adhabu ya kunyongwa iwe ndo adhabu ya juu, na hvyo nchi itakuwa salama maana watu wa haki watakuwa wameingia, ma genuine, watetz wa wanyonge, wawajibikaji, wanaojua kuendesha nchi vzr..
 
Hey buddy

Hate responsibly
 
Kwel mkuu na wale waliotufikisha hapo wafungwe/kunyongwa, ili liwe fundisho kwa watu wengine, maana hakuna awam mbaya Kama 5, watu walikuwa hawawajibiki, wanakula Rushwa, wanaonea watu,

Nimeipenda hyo.. waje ma genuine kabisa, maana hao watakuwa wana vision nzr, watatuvusha..[emoji40][emoji40][emoji40]
 
Huu upuuzi ukizidi bora tuwe na serikali za county,kila mkoa ujitegemee na unufaike na rasilimali zake.
 
Kuwepo ofisi kwa maana ya majengo haina maana yoyote. Ungesema watendaji wa ofisi hizo walikuwepo ningekuelewa
Walikuwepo na Waziri na Manaibu wake walikuwepo. Ofisi nyingi zilikuwa na watendaji
 
Walikuwepo na Waziri na Manaibu wake walikuwepo. Ofisi nyingi zilikuwa na watendaji
Basi nakushauri rudi tena ukaangalie utakubaliana na mm. Dodoma ni makao makuu kwenye makaratasi tu kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…