Sioni sababu yenye mantiki ya kusitishwa miradi hiyo yote hususani SGR, daraja la Busisi na bwawa la kufua umeme la mwalimu Nyerere kwa manufaa ya kiuchumi isipokuwa usitishwe miradi ya ununuzi wa ndege uliokusudiwa na serikali kwani zilizopo bado hazijaonyesha matunda toshelevu badala yake pesa hizo zielekezwe kwenye miradi mingine yenye tija kwa Taifa hususani zinazogusa wananchi moja kwa moja mf.kilimo na huduma zingine za kijamii.
Mkuu ifike mahali wastishe kila kitu ambacho kulifanywa awam ya 5 ila waje ma genuine ambao watakuwa na vitu vipya awamu ya sita, kiukwel tumechoshwa na kusikia watu wanavyo mu- underline Mwamba,
Ushauri wangu wasitishe kila kitu, ada za shule zirudi, reli iishie hapo, madaraja makubwa yaachwe!, Cjui vyote viachwe maana awamu ya 5 haikuwa na Cha maana, kulikuwa na uonevu, ukandamizaji wa democracy, uuwaji, unyonyaji , Rushwa ilishamili, kulikuwa hakuna uwajibikaji n.k,
Wawafungulie kesi wote waliokuwepo awam ya 5, ikiwezekana adhabu ya kunyongwa iwe ndo adhabu ya juu, na hvyo nchi itakuwa salama maana watu wa haki watakuwa wameingia, ma genuine, watetz wa wanyonge, wawajibikaji, wanaojua kuendesha nchi vzr..