Nashauri serikali itumie zaidi wanafunzi wa masters, PhD na PostDoc kufanya tafiti na kuchapisha maandiko kama tunataka kufika mbali katika tafiti

Dhana hapa ni kufanya na kuandika/kuchapisha hizo tafiti, au Serikali izitumie katika kujiboresha iwapo zitaweza kutatua changamoto za nchi? Nina uhakika ili mtu afaulu ni lazima afanye hicho unachoongelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…