Nashauri somo la physics liwe option kuanzia form one, mathematics liwe option pia

Tunamshukuru mama kwa kuamua kuonyesha uozo uliopo, standardization ndio zilikiwa zinawafaulisha hata wasiojua kusoma na kuandika, lengo tu watu washangilie Kama mazombi eti umefaulu umepanda!!! Hii ndio picha halisi ya elimu yetu kwa miaka ya hivi karibuni
 
Hujawahi kuona mtu mitihani anapiga A zote but ukimwambia akufundishe hajui kielekeza na mwingine anakufundisha fresh tu but mtihani unampiga fimbo?
 
Mathematics provides an effective way of building mental discipline and encourages logical reasoning and mental rigor. In addition, mathematical knowledge plays a crucial role in understanding the contents of other school subjects such as science, social studies, and even music and art.

Mathematics makes our life orderly and prevents chaos. Certain qualities that are nurtured by mathematics are power of reasoning, creativity, abstract or spatial thinking, critical thinking, problem-solving ability and even effective communication skills.

Math helps us have better problem-solving skills.
Math helps us think analytically and have better reasoning abilities. Analytical thinking refers to the ability to think critically about the world around us. Reasoning is our ability to think logically about a situation.

Siyo lazima wafaulu mathematics, ila ndo somo muhimu kuliko yote shuleni. Lina uhusiano mkubwa sana na uwezo wa kufikiri na kufanya maamuzi.
-Acheni UPUMBAVU
 
Haya masomo physics, Chemistry, Biology na Mathematics ni masomo mazuri na msingi sana kwenye almost kila field ya maisha. Tatizo kubwa lililopo, hatuna walimu mahiri wenye uwezo wa kuyafundisha haya masomo kwa njia nyepesi ambayo wanafunzi wataweza kuyaelewa. Matokeo yake wanafunzi wengi badala ya kuyaelewa, huyakariri hapo ndio changamoto inapokuja.
Pili, haya masomo lazima uwe na msingi mzuri wa hesabu tangu primary level,sasa mtu yupo form 1 hata jina lake hawezi kuandika what do you think?.
 
Wazo lako ni la kipumbavu sana. Watoto wataendelea kufeli sana Maths na Physics kama mzazi ndo kama wewe usiyejua umuhimu wa Maths kwenye maendeleo ya nchi. Hakuna cha option wala nini. Maths na Physics ziendelee kuwa lazima. Lawama ziende kwa wazazi wapuuzi wasiojua umuhimu wa elimu. Tena wengine wanataka kukimbia hadi kuwanunulia sare za shule watoto wao. Huko tuendako hawa watoto wa matajiri na viongozi wa leo ndo watakuwa matajiri na viongozi wa kesho kwasababu hata hao St Francis wanaofaulu karibu wote wametoka familia za kitajiri. Maskini ndo wako bize kutaka Maths iwe option.
 
Hesabu hapana, kila kitu ni hesabu, kula kuongea, kucheza, kulima, kuongea , huwezi kuepuka hesabu. Biashara nayo ni hesabu! Hesabu ni muhimu!
 
Hilo somo la physics mnali -overate lakini ni somo jepesi na lakawaida Sana.
 
Huna akili
 
Itafutwe namna ya kufanya hesabu na physics ziwe zinamvutia mtoto toka akiwa msingi. Hayo masomo sio magumu. Ila vilaza wengi waliokimbia hesabu na physics kwa hofu, wanaendelea kuamini kuwa masomo hayo ni magumu na wengi wao ndio watunga sera. Tukiata walimi sahihi na vifaa vya kufundishia, haya madomo ni the most interesting.
 
Mbona St. Francis, Canossa, Mazinde Juu, Feza, etc wanapiga almost A zote tena vitoto vya kike? Serikali ikajifunze huko wanafanyaje!
 
Walimu wapo ila watoto wenu hawana akili
 
Haya masomo ukiyajua vilivyo,unaanza kuona marafiki na ndugu kuwa ni wajinga, na hata unaweza kuoona na wazazi pia ni vilaza, subiri umalize kusoma halafu uwe unasotea job , ndio utajua hujui
 
Form one bado watoto wadogo, hawana uwezo wa kufanya maamuzi mazuri
 
Mnaogopa Hesabu hamlitaki kabisa baadae mtasema lifutwe tu hakuna namna mmeanza mbali sana...ni vile hamjui tu ni moja ya somo lilikokufa kama physics tu hakuna vitu vipya alivyosoma Babu ndio hivyo hivyo...
 

Kumbe na wewe ni zao la michael mnyama….safi sana,ni moja ya msaada mkubwa kwa shule za kata za Mwanza kwenye masomo hayo,watu wengi wamesoma pale bure,lakini hio tuition kama unatuliza akili asee huwezi feli Physics au Maths (2008-14) nimesoma kwa mnyama..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…