Baada ya kukiri kuwa alikosea na kuomba msamaha Ndugai amezika kabisa kaheshima kadogo alichobaki nacho. Simpendi kabisa Ndugai, nadhani ni spika wa hovyo zaidi kuwahi kukalia hicho.

Hata hivyo kama angejipa ujasiri wa kusimamia alichokisema juzi hadharani, ningempa benefit of doubt kwani hata saa mbovu mara moja katika saa ishirini na nne husema kweli.

CCM imeiharibu sana hii nchi yetu kwa kutusukumizia viongozi wabovu moja baada ya mwingine na ilijulikana wazi kwa kila mwenye akili kwamba kuna siku tutakwama na bado.

Hili la Ndugai ni mwanzo tu na kama Watanzani hatutachukua hatua tukae tukijua tunaelekea shimoni. Kama nilivyoanza simpendi Ndugai lakini nitatetea haki yake ya kutoa maoni kama Mtanzania.

Ni bahati mbaya sana kaomba msamaha kwani amedhihirisha jinsi CCM ilivyojaa viongozi wanafiki waliopo pale tu kutetea matumbo yao hivyo hana namna bali kujiuzulu nafasi yake mara moja.
 

Ndugai sio mnyonge me nakwambia, hawez kuondoka kama watu wanavyodhania na lazima atasema, na kuna watu wako upande wake

Siasa Iko hivyo! Hata kama ni kweli anataka uraisi ni haki yake mbona mama ameonesha Nia ya kugombea mapema Sana ?
 
Baada ya kukiri kuwa alikosea na kuomba msamaha Ndugai amezika kabisa kaheshima kadogo alichobaki nacho. Simpendi kabisa Ndugai, nadhani ni spika wa hovyo zaidi kuwahi kukalia hicho.
Heshima yake ilikuwa na mashaka, sasa ametoa wasi wasi wote. Mh Rais alipohoji utimamu na umri wake(mtu mzima) sijui alimwacha na nini!
Laiti angesimamia anachoamini au akae kimya na joho tusingeweza kujua kwa undani zaidi nini kipo kichwani. OMG sijui anasimama wapi watu waseme 'Ndugai Spika' !
Ni Spika wa ajabu sana tangu tupate uhuru.
Akina Ndugai ! sijui wanaieleza nini jamii ya kizazi kijacho! huyu naye eti ni role model! Aisee
CCM imetufikisha hapa !
Ni bahati mbaya sana kaomba msamaha kwani amedhihirisha jinsi CCM ilivyojaa viongozi wanafiki waliopo pale tu kutetea matumbo yao hivyo hana namna bali kujiuzulu nafasi yake mara moja.
Ndio unafiki, kwake Joho la bendera ni muhimu sana kwasababu tu ya ulaji
Keshaambiwa na wenzake '' Mtu mzima na akili zake..'' sijui amebaki na vazi gani Yarabi

Ndugai Jiuzulu usitiri familia na wajukuu zako! Hakuna kilichobaki katika kabati la heshima kwako
 
Ndugai sio mnyonge me nakwambia, hawez kuondoka kama watu wanavyodhania na lazima atasema, na kuna watu wako upande wake

Siasa Iko hivyo! Hata kama ni kweli anataka uraisi ni haki yake mbona mama ameonesha Nia ya kugombea mapema Sana ?
Una miss point sana

Hoja si Ndugai kuondoka au kutoondoka. Hoja si Ndugai anautaka Urais au la na wala si kwamba alichosema hakina mantiki. Hakuna mjadala kuhusu hilo

Hoja ni kwamba, mosi, alisingizia vyombo kupotosha. Ukweli ni kuwa hakuna upotoshaji.
Aliomba msamaha kwa kauli zake. Msamaha kamkosea nani na kwanini kwa kutoa maoni yake?

Pili, miswada aya kukopa ilipita Bungeni kwake, hakuanzisha mjadala.
Ndugai anayepitisha miswada mingine usiku wa manane ili kukidhi haja za Watawala, kwa hili kilimshinda kitu gani kuanzisha mjadala kama Spika na Mbunge?

Tatu, unafiki wa kusema kitu anachoamini halafu kukikana na ikishindikana kuomba msamaha unaeleza jambo moja, kwamba, kwake Uspika si utumishi wa umma ni Joho na masilahi

Kama alivyosimama wima kutetea Bunge kutodhalilishwa, hakuna sababu ya kudhalilisha Bunge.

Tumeambia jambo kuhusu ''utu uzima wake na akili'' na wale anaofanya naye kazi kwa ukaribu

Kama kuna heshima amebaki nayo itakuwa katika nyumba yake, na kwa mantiki hiyo yeye sasa ni ''skunk'' , ajiuzulu
 
 

Mm ninachoamini ndugai mpaka ameomba msamaha kwenye hadhara lazima kuna watu walimfata na wakashauriana vizuri and I'm sure ndugai angejua mapema kuwa Rais atayaongea Yale aliongea juzi then asingeomba msamaha

Malalamiko ya yake ya media na mitandao hoja yake kubwa ni kuwa Ile clip imekatwa, haina mwanzo wala mwisho, maneno ambayo yamejaa ni Yale ambayo kila mtu kayasikia

Possible mwisho wa hotuba yake kuna Jambo la tofaut alisema
 
Kuhusu Media, Ndugai angesisitiza video nzima iwekwe, kaufanya hivyo kakimbilia msamaha

Pili, mtu anayeamini anachoamini hawezi kuyumba yumba! hakusimama na msimamo

Hana heshima kwa ufupi, ni wakati ajisetiri. Kutukanwa kwa 'mtu mzima na akili'' ni tusi kubwa sana. Sijui Familia yake inajisikiaje lakini ni muda wa yeye kuondoka katika uso wa 'public'
 
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi ni zitafika tamati hivi punde kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when these unscrupulous rats will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority fisadis and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few fisadis whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except fisadis themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava-made boat by which they were sailing!
 
Bila shaka weye ni zao la shule za kata! kukariri kila kitu! km huyo aliye chana alikuwa kichaa je??

mbali na huyo wa USA kuchana! Rais wetu alipigwa kofi hadharani, lkn akamsamehe mpigaji, ajabu ikaendaaa akajifia kwa laana hiyo km haitoshi Rais wetu alipigwa mweleka stejini!! ujeda ukamsaidia kujiokoa! na bado kasamehewa! sasa weye unamuona Mkoloni ndo Bora anasamehe tu siyo!

Jua Rais ni taasisi wewe!! akitamka neno anatamka yale ya walio wengi yaani presdential inner cycle decision maker! akiwemo huyo kimeo wako, kwa hiyo hicho kimeo kiliji pinga! ......km alivo jipinga Askofu Pengo, gwajima akamlipua faster! pengo kanywea!! nywiiii!

Km unesoma wewe uliibia na haya ndo matokeo yake!! karudie mtihani haraka sana!! km ni mtoto waa drs la nne nakusamehe bure kazi kwako kujitathmini.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…