Nashauri Spika Ndugai ajiuzulu
Mama moto auko mbali you’are chasing the dragon.

Hakuna mkosoaji anaetaka mama ashindwe; the woman needs to revert back quickly to how things were under JPM.

Jumba linawaka hilo soon kwa sisi tunaoweza analyse mambo. Dah mpaka namuhurumia huyu mama wengine ukosoaji wetu sio wa chuki bali kurekebisha aipeleke nchi sawa.

Moto waja soon, kwanini watu wenye tamaa wamemuingiza huyu mama mkenge kwa kutoridhika kwao.

Watch this space tupo pabaya. Dah again kuna watu wana roho mbaya why are they exploiting this woman.

Very sad, sina tabia ya kuongopa; nawaambia kwa kumsikiliza Mama Samia mwishoni kabla ya kumuwakia speaker kinachofuata ni mshtuko wa mushroom bomb, na tatizo sio yeye bali wahuni.

Not trying to be the prophecy of doom but watch what’s next. It’s a pity to mama.
umetumia mda mwingi kuandika vitisho kuliko kuandika namna ya kushauri.

wewe ni walewale waliowahi kufaidika na utawala wa yule shetani.
 
kataarabu alikoachia mama jana kamemsagia kunguni vibaya mzee jobo
 
Things were under JPM????????? Aisee unachekesha. Sasa jpm si ndo alikopa % 99 ya deni lote kwa miaka chini ya 6. Alikopa kwenye banks zinohitaji high returns, hakushirikisha cabinet. Alifanya haya peke ake na tunajua kabisa jpm hakuaga na hata basic knowledge ndogo ya macro economy
Hiyo asilimia 99 umeitoa wapi?
 
Speaker ana more info za madeni na uwezo wa kulipa kushinda tunavyodhani.

Based on the following info:

Mama Samia: Mwigulu akanipigia simu usiku nimelala kuniambia mama kuna madeni yame mature, ila kuna mkopo wa concession akanishauri tuukakate tulipe madeni. Nikaoana hii akili.

Kwa wenye kuelewa maswala ya public debt there is a problem kwenye makusanyo.

Mateja wanaita chasing the dragon ni muda tu kabla moto aujawaka.

Nilichojifunza based on mama Samia speech; speaker ana info ni kiasi gani serikali inashida ya kulipa madeni yake based on collections za sasa ndio maana ya kutoa kauli yake.

Mama moto auko mbali you’are chasing the dragon.

Hakuna mkosoaji anaetaka mama ashindwe; the woman needs to revert back quickly to how things were under JPM.

Jumba linawaka hilo soon kwa sisi tunaoweza analyse mambo. Dah mpaka namuhurumia huyu mama wengine ukosoaji wetu sio wa chuki bali kurekebisha aipeleke nchi sawa.

Moto waja soon, kwanini watu wenye tamaa wamemuingiza huyu mama mkenge kwa kutoridhika kwao.

Watch this space tupo pabaya. Dah again kuna watu wana roho mbaya why are they exploiting this woman.

Very sad, sina tabia ya kuongopa; nawaambia kwa kumsikiliza Mama Samia mwishoni kabla ya kumuwakia speaker kinachofuata ni mshtuko wa mushroom bomb, na tatizo sio yeye bali wahuni.

Not trying to be the prophecy of doom but watch what’s next. It’s a pity to mama.

Kumsaidia tu mama uombaji msamaha wa speaker alishaonywa what you were about to say; watu wamejipanga kupambana na wahuni. Busara ni mama Samia kuirudisha nchi alipoipokea.
Jpm ndo chanzo cha matatizo yote haya, ipo siku watu watafunguka na kueleza mapungufu ya jpm yalivyopelekea kuua nchi, mengine tulishaandika kitambo hata kabla hajafa
 
umetumia mda mwingi kuandika vitisho kuliko kuandika namna ya kushauri.

wewe ni walewale waliowahi kufaidika na utawala wa yule shetani.
Mama hataki tu kusema ukweli ila haya matozo ni kwa sababu alikuta serikali ime filisika. Magu alitaka kufanya kila kitu kwa wakati mmoja, ujenge ikulu, uamie dodoma, ujenge reli, ujenge bwawa, ujenge busisi, ujenge uwanja wa ndege. Alikua abscess na mega structures
 
Things were under JPM????????? Aisee unachekesha. Sasa jpm si ndo alikopa % 99 ya deni lote kwa miaka chini ya 6. Alikopa kwenye banks zinohitaji high returns, hakushirikisha cabinet. Alifanya haya peke ake na tunajua kabisa jpm hakuaga na hata basic knowledge ndogo ya macro economy
Hakuna mtu mwenye akili timamu atakataa mikopo. Kubwa mikiopo inatumiaje? Ukisema JPM alikopa sana, ukaishia hapo, unakuwa ama mbumbumbu ama mnafiki. Nenda mbele zaidi alitumiaje hiyo mikopo? Linganisha na mikopo aliyokopa JK aliitumiaje?

Kukopa si tatizo, tatizo ni aina ya mikopo namatumizi yake.
 
umetumia mda mwingi kuandika vitisho kuliko kuandika namna ya kushauri.

wewe ni walewale waliowahi kufaidika na utawala wa yule shetani.
Utaweza mtishia raisi wa Tanzania kweli kama akili zako timamu, si dakika moja tu anakumaliza akiamua ata ungekuwa mkuu wa vyombo vya ulinzi.

Nonetheless based on recent events kuna watu wengi inaonekana awapendi hatua ambazo nchi inarudi nyuma na wamejipanga kupambana kuipeleka mbele na huu ni mwanzo tu.

Mambo hayako sawa tofauti na hadithi za serikali. Na kuna watu awataki tena kurudisha siasa za nyuma mambo ya mimi sijui nimekulia kwenye chama, wakati kuna katiba ya kuwaongoza.

Make no mistake baada ya kusikiliza speech ya tukio lote ya tukio it’s apparent speaker alishaonywa what is about to come; busara aende mbele awe mpole wakati watu wanajipanga.

Hapo tunazungumzia vita ya watu wenye nguvu serikalini ngoja tuone mwisho.

As for me kilatha sasa hivi nina black belt busara ni kwamba wamalizane wenyewe sio kutuingiza sisi JF contributors or else nitavunja viuongo vya watu kadhaa kwa wale watakao jaribu nisogelea.

Hii ni vita ya level nyingine, sasa tuelewane mapema wengine hatuna upande; for defence reasons nina black belt like I said I won’t hesitate using my skills if I have too.
 
Jpm ndo chanzo cha matatizo yote haya, ipo siku watu watafunguka na kueleza mapungufu ya jpm yalivyopelekea kuua nchi, mengine tulishaandika kitambo hata kabla hajafa
Yaani unamlaumu raisi bora nchi hii kuwahi kupata ndio tatizo la nonsense za leo; malalamiko mengine is beyond me.

Anyway muhimu tumuombee mama Samia mafanikio kwa njia zake.
 
Naheshimu mtazamo wako Great Thinker ila kuna Lawama zingine hapa Yeye unamuonea bali zinaenda pia Serikalini na katika System ya Taifa letu.

Kuhusu Kujiuzuru Kwake kutokana na hii Sintofahamu aliyoiibua naungana mkono nawe ( na tena Spika Ndugai alifanye hili upesi ) kwani kwa Kauli tu ya Mheshimiwa Rais Samia jana ni dhahiri kuwa hamuamini tena na hata Ndugai nae Kisaikolojia hatokuwa vizuri kwani alijua Msamaha wake ungezaa Matunda ila Mama ( Mheshimiwa Rais Samia ) ndiyo Kashindilia kabisa Msumari wa Moto.
Kule kwetu uswahilini tuna misemo yetu " BAADA YA DONDA, NAMSUMARI WA MOTO"
 
Ni wazi kauli ya Mheshimiwa Rais Samia huyu Spika Ndugai hakutaka Rais Samia Suluhu Hassan achukue madaraka baada ya kifo cha mwendazake. Spika Ndugai ameliendesha bunge kwa kutofata katiba kwa mfano wa wabunge Covid19 kuwa pale bungeni. Kumyima Mheshimiwa Tundu Lissu haki zake zote pamoja na yeye kujua yaliyompata (kushindwa pia kutoa wazi ripoti ya kamati ya bunge chini ya Adadi Rajabu iliyochunguza kupigwa risasi Mheshimiwa Tundu Lissu)
Spika Ndugai alikuwa na kauli ya kifedhuli na vitisho kwa mfano dhidi ya Assad na Jenerali Ulimwengu.
Ndugai Must Go kwani hawezani na Serikali ya awamu ya sita
Wajiuzulu wote (Samia naye ajiuzulu)

Kamkamata Mbowe, halafu wengine (UAMSHO) anawaachia kama si uhuni ni nini!
 
MH SPIKA JOBU NDUGAI TAFADHARI ZINGATIA USHAURI HUU Rais hana imani tena na wewe Ndugu yangu Spika. Hivyo kuna mambo mawili ambayo unapaswa kuyafanya.

1.Wewe ni CCM kabla hujawa Mbunge wala kabla hujawa Spika. Mh Rais ni Mwenyekiti wa CCM hivyo waweza kujiuzulu kwa kumueshimu Mh Mwenyekiti wa CCM na kwa Maslahi makubwa ya CHAMA. Au 2.Usubiri Bunge likuondoe kupitia Katiba ya JMT Ibara 84-.

(7) Spika atakoma kuwa Spika na ataacha kiti cha Spika litokeapo lolote kati ya Mambo yafuatayo- (d)Ikiwa mtu huyo ataondolewa kwenye madaraka ya Spika kwa azimio la Bunge lililoungwa mkono na wabunge ambao idadi yao haipungui theluthi mbili ya Wabunge wote;

Ukisubiri hoja hiyo ya pili utaibua na mambo mengine maana Wabunge watapata muda wa kukuchambua kwanza kabala ya kukuazimia na kama hujuavyo kila mmoja wakati huu anataka kuonekana mbele ya Boss kwahiyo watakufanya uwanja wa fujo kisha watakutupa.

Chanzo:

Mchakato wa kumuondoa Spika hauwezi kufika mahali pa kuangalia katiba inasemaje
Uspika ni fadhila za CCM na kwa masilahi yake, sidhani kama watapenda mjadala Bungeni.

Mjadala wowote unaweza kumnyanyua Mh Ndugai kwasababu kimsingi ana hoja.
Tatizo ni usahaulifu kwamba alipaswa kusimamia anayoyasema Bungeni.
Na kwamba hata aliposema hakutakiwa kuomba msamaha kwa kile anachoamini

Ili kuepuka malumbano na kuwagawa CCM bungeni na kwingine , Chama hakitakwenda huko
Kuna 'option' rahisi sana. Chama kitamwita na kumtaka ajiuzulu au arudishe kadi yao.
Ndugai atakuwa na option pia, ajiuzulu abaki Mbunge na masilahi ya Uspika au akatae na kuzamisha meli na mzigo
 
Yaani sielewi kwa nini anachelewa kujiuzulu, maneno aliyotamka ndugai mh. Rais hawezi kuyavumilia, kwa kuwa aliomba radhi, na dhairi msamaha umekataliwa, hana sababu kuendelea kuwa spika.
Muda huu tulipaswa kujadili jinsi alivyojiuzuru.
Lakini hii yote inatokana na kiburi komaa, na tabia ya mazoea ya kutofuata sheria sheria na katiba.
Sehemu kubwa watu awampendi Ndugai jinsi alivyoliendesha bunge kipindi chake!
 
Amute tuu. Huu ni upepo utapita muda sio mrefu. But next time ajifunze kuwa na msimamo kama anayaamini mawazo na mtazamo anaoutoa kuhusiana na jambo ama hoja.....
 
Amute tuu. Huu ni upepo utapita muda sio mrefu. But next time ajifunze kuwa na msimamo kama anayaamini mawazo na mtazamo anaoutoa kuhusiana na jambo ama hoja.....
Yes ni ngumu sana kwa viongozi wa Afrika kuwajibika kwasababu ya utamu wa vyeo vyao

Tatizo linabaki pale pale, hivi inapohojiwa '' mtu mzima na akili zake..'' kimebaki nini tena?

Ni wazi amekwaza serikali yote iliyokuwepo Ikulu leo, anawakwaza wenzake sana tu

Ndugai ana hiari, hata hivyo ni vema akapima heshima yake leo, kesho na siku za baadaye

Wenzake leo wamemwacha 'kama alivyo'', sijui akikomaa joho litatosha kumsetiri.
 
Wameacha kwa makonda kumuandika ssa wamerudi wa ndugai tatzo la upinzani ndio hilo wana nata na biti tu hawana ajenda
 
Mkuu Ndugai amefanya na hata kusema mengi sana yenye kuutweza Utu na heshima yake kwenye Jamii na bado maisha yakaendelea.

Kupiga mpinzani wake na Gongo.
Suala la Wabunge 19, wasio na Chama.
Suala la Prof. Assad.
Kujiita Chizi ndani ya Bunge.
Kuunga mkono mada ya kuongeza muda kwa Mwendazake.
Suala la Bandari ya Bagamoyo.
N.k n.k n.k

Kwa hili la kusigana na Rais, tujiandae soon kuona amealikwa Ikulu kwenda kunywa chai. Na akitoka hapo inakuwa ni mwendo Wa kuunga Mkono na kusifia kila atakachokisema Mama.

Atasema nilikuwa sijui, ila nimeenda Ikulu nikaonana na Wataalamu Wa Uchumi wamenielewesha vizuri sana faida za Mikopo..

Ila kujiuzulu?
Tusahau kwa sasa.
The conflict has been too open, and uncovered, so it very difficult to hide it.
 
Yes ni ngumu sana kwa viongozi wa Afrika kuwajibika kwasababu ya utamu wa vyeo vyao

Tatizo linabaki pale pale, hivi inapohojiwa '' mtu mzima na akili zake..'' kimebaki nini tena?

Ni wazi amekwaza serikali yote iliyokuwepo Ikulu leo, anawakwaza wenzake sana tu

Ndugai ana hiari, hata hivyo ni vema akapima heshima yake leo, kesho na siku za baadaye

Wenzake leo wamemwacha 'kama alivyo'', sijui akikomaa joho litatosha kumsetiri.
Siasa za kibong... zimejaa unaa tuu. Hivi unaweza kusingle-out who is 100% clean !!!!????
 
Back
Top Bottom