Hapa hamna timu kabisa unaweza kuta mmeikamia mechi kumbe hata madogo wa U20 wangeweza kuitafuna kirahisi. Kupangiwa kiTeam ambacho kimemaliza ligi ya Nigeria nafasi ya ni sawa na kucheza na Polisi Tanzania ya LigiKUU Tanzania Bara.
View attachment 1892283
Inaonekana hii timu imepata mbeleko ya kubeba kombe la NPFL ndio maana akapata nafasi ya ushiriki. Hebu tazama nafasi yao ya Ligi msimu ulio pita.
View attachment 1892286
Yaani timu ya nafasi ya sita huko ndio tuwawekee full mkoko, Huo utakuwa 1. Uonevu 2. Matumizi mabaya ya wachezaji na 3. Sio fair play.
View attachment 1892287
Na hata ushindi wao ni kuwafunda timu zilizo chini ya nafasi yake katika msimamo wa Ligi.