Nashauri Uongozi Wa Yanga SC utumie Kikosi cha Kagame Cup kumenyana na Rivers United FC

Anyway, hii Yanga ya msimu huu, kiukweli inaniogopesha sana! Yaani Mwalimu atakua na wakati mgumu sana wa kumpanga nani ndani, na amuache nani nje!
Kila msimu maneno ni haya haya.... Twendeni Morocco Waarabu wanatusubiri Bana Congo
 
Ila mkisha manuliwa msipekeke msiba wenu TFF.
 
Mkuu ile timu iliyoitoa Simba hapa kwa mkapa ilikuwa nafasi gani kule Africa Kusini
 

Hii ulipaswa uilekeze kwa mtoa uzi Utopolo mwenzio maana logic yake ilikuwa hiyo.Huyu mwingine amejaribu kumuuliza kama wewe ulivyodandia hoja yake.
 
Waulize Manunu FC walichungulia nafasi ya Kauza Chips kwa Amapiano wakaona ya nane wakadharau wakapigwa 4G, hawa tunapambana nao na tunawaheshimu
Subiri utajua hujui na hiyo bendi yenu ya hao Akina Koffi, Ipupa na awilo
 
Mathematical reasoning. [emoji123]
 
Mkuu huyu usipoteze naye muda2,ni wale mbumbumbu Rage alikuwa anawazungumzia.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hao ndio wale wanaoangalia mtoto amekuwa wangapi darasani bila kuangalia wastani.
Yaani umemkomesha hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…