Nashauri usije ukajiroga ukapenda Mnyarwanda. Nilimpata Ughaibuni ni matatizo matupu

Nimeishia njiani...
 
Ukiwa unaishi magumu sana, unakuwa huwezi kuamini kuna watu wanakula maisha....
Mwambie Mpaka sasa kama haamimi ila ngoja nimuoneshe mtu ukisema dolla 250K anachanganyikiwa ninyi Bongo ndo mnaona ni hela kubwa Uzuri Nimeiweka juzi kwenye Pesa ya tz yaan Hiyo Ughaibuni ukiwa ma chini ya Bilion 1 ya Tanzania lazima upanick! Lakin waliinfunga Mpaka nitoe maelezo ni hela ya nini kwanini ni Pesa mingi nishawapa vielelezo
 
Bajet ya wizara watu mnakunja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…