Nashauri usije ukajiroga ukapenda Mnyarwanda. Nilimpata Ughaibuni ni matatizo matupu

Namuonesha hata hapa nipo nakula life naweka sasa hii video ! Naweka video down
View attachment 3620204
Dogo huna haja ya ku prove kitu kwa mtu tunakujua tokea unakula mke wa Balozi ila kuendelea na haya mambo ya kuweka ma data yako kwani unadhani hapa hakuna wanaofanya kazi NMB ? Wanaweza angalia salio Hilo liko kwa Nani’ we Tia story tambaa

Tupe Hiyo ya wachina scammers alafu na hao mademu manesi uliwalewesha! Uliwapiga mtungo au walikupiga mtungo 🤓🤓
 
Sawa
 
Barua ndefu kama hii
 
Mkuu mimi sijataka ushahidi..ni wivu tu
 
Naomba hiyo 88 tajiri
 

unazingua we jama.
 
Nimeisoma mwaka jana kweli nikakumbuke aliandika nani? No c'mon ni ngumu

si umesema ni pacha ya hii ?.

ni rahisi tu copy maneno ya mwanzoni ka pest fb search itakuja.

Acheni kujitungia mambo mtu amesema ni story yake. Wewe ukiona anadanganya jifunze la kujifunza kisha kausha.

lamhim jali elimu na burudan yako inatosha.
 
Huyo masweeter ni ID nyingine ya jamaa anajipigia promo kama anatakwa na mwanamke ili aje afanye utapeli. Ukisoma tu utaona. Huu utapeli wa Wanaijeria na wa wachina.

wanaume wa hivyo tupo mkuu.

mm mwenyewe miongoni usione kama ni maajabu kisa tu wewe hauko hivyo.
 
Mkuu miye nilioa mnyarwanda,kwa miaka 13 ila sebene lake siyo la Dunia hii

Mpka kumwacha ilibidi mbinu za medani zitumike

Full kupelekwa kwa waganga,kutegewa madawa kwenye chakula,kashfa kwa washikaji zangu

Hiyo ligi sitaisahau

Wale washenzi wanaelewa lugha moja tu

Ukatili na roho mbaya,ukitaka kwaheshimu na kukuogopa,walipe kwa ukatili promax

Yule k*ma hatokuja nisahau kwenye maisha yake matako Yako yule

Bladifakeni
 
Una chuki binafsi na wanyarwanda sio bure mtu mmoja anafanya useme wote hawafai
Una yako
Wale watu ni wazuri na warembo ila Wana roho mbaya kishenzi

Ukimwacha shida na ukiwa shida vile vile

Hayajiagi kuachwa kwa amani,aisee

Ukikoswa kwa sumu jiandae kukabiliana na waganga wa kienyeji,ukikoswa hapo jiandae kuchanganywa na marafiki zako

Atatembea na washikaji zako au ndugu zako ili tu apate access ya kukontrok the narrative

Wale washenzi hawajuagi kuachwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…