Nashauri usije ukajiroga ukapenda Mnyarwanda. Nilimpata Ughaibuni ni matatizo matupu

Mleta mada namjua ni genuine kabisa tunamjua kitambo

Britanicca

wewe na YEHODAYA mlinisaidia 2020 kipindi dogo langu anataka ku soma Ukraine 🇺🇦! Watu wanatuona wa juzi kisa hatuandiki Mara kwa Mara​

Uzi 👇🏾

 
Punguzeni chuki nonsense
Kila jamii ina watu wabaya na wazuri kwendeni huko na chuki zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…