Nashauri Wachezaji hawa wa Simba SC leo wasiende Uhuru Stadium na wakienda Walindwe sana ili Wasipigwe

1. Inonga
2. Chama
3. Kapombe

Msiseme GENTAMYCINE sikuwashtua. Na hata Saido Ntibanzokinza na Leandre Onana nao hawako salama sana kwa Hasira Kali walizonazo Mashabiki wa Simba SC juu yao, ambao kwa wanaojiandaa kwenda Uwanjani Uhuru Stadium wanasema wanaenda Kuwatia Adabu ( Kuwaadhibu ) vilivyo Watajwa kwa kile wanachokiamini kuwa WALIIHUJUMU Simba SC Jumapili na ikafungwa Kishalubela ( Kikatili ) na Yanga SC kwa Goli / Bao 5 kwa 1.

Nililosema hapa LIZINGATIWE sana.

ANGALIZO

Huvutiwi na Taarifa / Habari zangu GENTAMYCINE hapa Jamiiforums njia ni rahisi tu achana na Mimi, usifungue Thread yangu na itapendeza zaidi kama utanibloku ( ignore ) ili tusichoshane na uniachie tu wale Werevu na Wanaonielewa na Kuniamini waendelee Kuhabarika kwa ninayoyaleta hapa ambayo kamwe huwezi kuyapata kwa Kinyankera yoyote yule.

Kuendelea kumsoma na kumfuatilia GENTAMYCINE ambaye kutwa HUMPENDI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI wake na HUZIAMINI TAARIFA / HABARI zake kunaonyesha kuwa MOYONI mwako UNAMKUBALI ile mbaya lakini pia una Vijitabia AMINIKA vya MBWA JIKE aliyeko katika Heat na anayelitafuta JIBWA DUME na TUKUKA LIMPANDE na aridhike kwa KUSUUZIKA vilivyo ili atulie.
Wameenda na wote wameanza.....
 
Aaahzaaa
 
Inonga,chama,saido,kapombe na onana wote wameanza 1st eleven

Jamaa ni hewa sana
Sasa Simba bila wachezaji hao atacheza nani?

Ukiona timu inamtegemea Kibu Denis mchezaji anayetumia maguvu mengi akili sifuri ujuwe hapo hiyo timu tayari ni mufilisi.
 
Uongozi wa Simba uwe makini na Mashabiki Wachonganishi, wengi wao ni Mamluki tu wanaojifanya Mashabiki kindakindaki wa timu.

Hata Wachezaji nao wanaumia kupoteza mechi, ila sasa kma timu inazidiwa wafanyeje?.
 
Back
Top Bottom