Nashauri Wachezaji hawa wa Simba SC leo wasiende Uhuru Stadium na wakienda Walindwe sana ili Wasipigwe

Wameenda na wote wameanza.....
 
Aaahzaaa
 
Inonga,chama,saido,kapombe na onana wote wameanza 1st eleven


Jamaa ni hewa sana
Sasa Simba bila wachezaji hao atacheza nani?

Ukiona timu inamtegemea Kibu Denis mchezaji anayetumia maguvu mengi akili sifuri ujuwe hapo hiyo timu tayari ni mufilisi.
 
Uongozi wa Simba uwe makini na Mashabiki Wachonganishi, wengi wao ni Mamluki tu wanaojifanya Mashabiki kindakindaki wa timu.

Hata Wachezaji nao wanaumia kupoteza mechi, ila sasa kma timu inazidiwa wafanyeje?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…