GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Hata mimi napenda maelezo ya vitu ninavyoviona kwenye movie.Binafsi huwa napenda maelezo in deeply wengine sijui okay kila mtu na lake mengine tutayakuta vitabuni..[emoji28]
Ni kawaida kabisa kuangalia movie.
Halafu nikairudia kwa kufuatilia baadhi ya vitu ninavyoviona kwenye movies.
Ila sasa huku mtaani sidhani kama wengi wanapenda hivyo.