kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Baada ya miaka karibu 60 ya uhuru ndio tulipo fikia hapa.
[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya miaka karibu 60 ya uhuru ndio tulipo fikia hapa.
Lugha na uelewa wa jumla wa mambo unahitaji degree ?Lugha na uelewa wa jumla wa mambo unahitajika. Mtu mwenye difrii anafaa sana.
Watafasiri wote wa movie ni wanasimulia ...99% ya member wa JF na waliochangia hii mada Si target market ya ma DJ ndio maana humu kawaida kuina mtu anasema 'unaangaliaje movie iliyotafairiwa' Kimsingi wale wanaojua feeling ya movies hawangalii zilizotafsiriwa.Hao kina dj muphy nk wanasimulia matukio siyo kutafsiri movie.
Ndicho inachohitaji Soko hiki.Hawatasfiri chochote pale, sawa na mimi niangalie movie alafu niwe 'base' na washkaji, nawasimulia.
Cheki maneno......halafu kamluzi kanafuata.Wakatiiiii jambazi anakwingilia kwa juu
Ile matatu ilichomoka kama mnati .......chekiiii[emoji23][emoji23]
Digrii ni kipimo kizuri cha uelewa wa Lugha( kiingereza) na uelewa wa jumla wa mambo.Lugha na uelewa wa jumla wa mambo unahitaji degree ?
Kumbuka kuna mtu anayeweka sauti, na kuna mtu anayetafsiri hao sio kwamba ni mtu mmoja wewe unaweza ukaweka maneno movie ya kichina ingawa hujui kichina.., ila sauti yako inaendana na character ya muhusika....
Angalia hii list halafu uniambie kuwa movie zilizotafsiriwa bila mbwembwe na miluzi kuwa hazina soko.Watafasiri wote wa movie ni wanasimulia ...99% ya member wa JF na waliochangia hii mada Si target market ya ma DJ ndio maana humu kawaida kuina mtu anasema 'unaangaliaje movie iliyotafairiwa' Kimsingi wale wanaojua feeling ya movies hawangalii zilizotafsiriwa.
Ma DJ wakifuatisha ushauri wa mtoa mada watapoteza soko lao 99% ambao wanaangalia hizo movie za kutafairiwa.
Mtoa mada anachitaka kufanya ni kuwasilisha Business Proposal ya kuuza PIZZA na Burger buza au Mbagala Bishara ita feli vibaya sana.
Wewe unaelewa kiswahili vizuri na huenda pia unaelewa kisukuma..., ila its not necessary kwamba unaweza ukaweka sauti (sauti yako ina mvuto) kuweza kuweka sauti na ikapendeza...Digrii ni kipimo kizuri cha uelewa wa Lugha( kiingereza) na uelewa wa jumla wa mambo.
Mi nazungumzia wanaotafsiri. Na kama ni project inaanza kwa hawa walioamaliza chuo basi ni vyema wakawa waingizaji wa sauti pia.
Mi ushauri wangu umebase kwa vijana waliomaliza chuo ambao ni ngumu kuajiri watu wenye talents za kuingiza sauti.Wewe unaelewa kiswahili vizuri na huenda pia unaelewa kisukuma..., ila its not necessary kwamba unaweza ukaweka sauti (sauti yako ina mvuto) kuweza kuweka sauti na ikapendeza...
Haya mambo yanaendana na sauti ya mtu pia (either you have it or you don't) kuna sauti za kumtoa nyoka pangoni na kuna za kumkimbiza..., huwezi ukatafsiri sauti ya jambazi na mtu katili wakati sauti yako ni kama muubiri injili...., hii kitu ni more of experience/interest na talent kuliko certificates....
Unahisia zaidi y'all uhalisia...mimi nazungumzia Biashara wewe unazungumzia Hisia zako Hisia zako wewe haziwapi kula wafanya Biashara Boss.Angalia hii list halafu uniambie kuwa movie zilizotafsiriwa bila mbwembwe na miluzi kuwa hazina soko.
1. Neria
2.Yellow card
3. Kirikuu
4. Movie ya Yesu
5. People of the forest
Watu wanaangalia hizi za miluzi na mbwembwe kwasababu hawana alternative.
Hata movie ya Yesu huijui? ile nayo ilitafsiriwa, au unafikiri wale wazungu walikuwa wanaigiza kwa kiswahil! Hakuna mtu mwenye Tv aliyekuwa anakosa movie ya Yesu na movie ya Neria. Watu wanasema hwapendi movie zilizotafsiriwa lakini huwezi kuta anasema haipendi ile ya Yesu au Neria. Movie zikitafsiriwa kwa utaratibu wote wataangalia, hata wanaosem hawapendi zilizotafsiriwa.Unahisia zaidi y'all uhalisia...mimi nazungumzia Biashara wewe unazungumzia Hisia zako Hisia zako wewe haziwapi kula wafanya Biashara Boss.
Hizo Movie ulizozitaja naijua hiyo kirikuu tu, na zote si mahitajio ya Soko elewa Soko ni lipi hatupo kuridhisha hisia mimi si mpenzi wa Movie za kutafsiriwa ila hapa nachambua soko lake kwasababu na mimi nilishawai kuwa Soko So najua nini nilikuwa nakipenda kipindi nilikuwa soko.
Kichwa cha habari hakiendi na unayoyasema. Nahisi hoja yako ni kwamba kutafsiri kanda za sinema kunahitaji waliofuzu Chuo Kikuu, ambapo kichwa cha habari kinaashiria waliofuzu Chuo Kikuu waende kwenye kutafsiri sinema kukidhi ajira. Kichwa cha habari kinahitaji kubadilishwa kiseme unayoyatarajia.Kwa kweli hawa watafsiri wa kitaaani wana uongo sana sema tu wamechangamka. Ingependeza sana wasomi wangekuwa wanatafsiri hizi movie na ikiwezekana wawe kundi na watafsiri kiuhusika kama ilivyotafsiriwa animation ya Kirikuu.
Pamoja na yote hii ni chance ya ajira pia. Au nakosea ndugu zangu?
Mkuu si kwa kila kifaa ati mtu aelezee let's say muvi mfano za huko angani mtu anaona watu wanaelea hajui nini ni nini kuna matukio yanatakiwa mtu apate details hata kidogo alasivyo kila kitu mtu atakuwa anaamini ni uongo! Hiyo ak47 nimetolea mfano tu! Unakuta Kuna siraha inapiga umbali mrefu si kawaida mtu anaweza kudhani ni muvi tu kumbe zipo kweli! Ni kama vile unagusia ila maelezo mafupi yaliyoshiba.Hapa umekosea asee, ndiyo maana niliamua kitambo sana niwe na_download movie mwenyewe Netfrix kwa sababu ya mawazo kama yako.
Mfano kuna movie inaitwa Enemy At The Gate kuna mashine zipo humo huyo mtafsiri unayemtaka aelezee hizo siraha movie itaisha hajamaliza kueleza hata mbili.
Mtoa mada nimemuelewa anavyotaka same like me kuwa, watafasiri kile kinachosemwa na waigizaji na kuchombeza na maneno yao.
Hao kina dj muphy nk wanasimulia matukio siyo kutafsiri movie.
Sasa hoja naona ni Movie sio kutafsiriwa Movie ya yesu kivyovyote lazima i takeover sikwajiri imetafsiriwa kwaajiri ni ya yesu nikianza kukulistia movie zote zilizotake over za ma DJ si itafika usiku hapa.Hata movie ya Yesu huijui? ile nayo ilitafsiriwa, au unafikiri wale wazungu walikuwa wanaigiza kwa kiswahil! Hakuna mtu mwenye Tv aliyekuwa anakosa movie ya Yesu na movie ya Neria. Watu wanasema hwapendi movie zilizotafsiriwa lakini huwezi kuta anasema haipendi ile ya Yesu au Neria. Movie zikitafsiriwa kwa utaratibu wote wataangalia, hata wanaosem hawapendi zilizotafsiriwa.
kama mkude simbaWaongo sana hawa jamaa. Siku hizi kuna sijui DJ nani nani, wengi sana.
Huyo kwanza aangalie behind the scenes za Animation movies za Hollywood ndio atatambua sio kila mtu anayeweza kazi hiyo, na pia sana sana wanapendelea kutumia wasanii wa movies waliobobea tayari kwa nyanja ya uigizaji.Wewe unaelewa kiswahili vizuri na huenda pia unaelewa kisukuma..., ila its not necessary kwamba unaweza ukaweka sauti (sauti yako ina mvuto) kuweza kuweka sauti na ikapendeza...
Haya mambo yanaendana na sauti ya mtu pia (either you have it or you don't) kuna sauti za kumtoa nyoka pangoni na kuna za kumkimbiza..., huwezi ukatafsiri sauti ya jambazi na mtu katili wakati sauti yako ni kama muubiri injili...., hii kitu ni more of experience/interest na talent kuliko certificates....