Nashauri wasomi wa Chuo Kikuu kujiingiza kwenye kazi ya kutafsiri movie

Binafsi huwa napenda maelezo in deeply wengine sijui okay kila mtu na lake mengine tutayakuta vitabuni..[emoji28]
Hata mimi napenda maelezo ya vitu ninavyoviona kwenye movie.

Ni kawaida kabisa kuangalia movie.

Halafu nikairudia kwa kufuatilia baadhi ya vitu ninavyoviona kwenye movies.

Ila sasa huku mtaani sidhani kama wengi wanapenda hivyo.
 
Nafikiri hili litakuja kuwa soko la baadae watu wakibadilika sahivi wacha waende mwendo huu steps zitachange tu!
 
Wengi hawapendi hayo sema ndiyo kilichopo sokoni. Fanya utafiti utaona, ndiyo maana Animation ya Kirikuu ilipotafsiriwa kitaalamu ilibamba sana. Ndiyo maana movie zilizotafsiriwa vizuri kama Neria hadi leo tunaikumbuka. Hakuna anayependa miruzi na makelele ya Dj Max nk, ni kwamba tu ndiyo kitu kilichopo.
 
Hivi unajua kutafsiri movie bila ruhusa ya muhusika ni kosa la jinai? Ndio huko wapo makanjanja na wataendelea kuwepo!
 
Hivi unajua kutafsiri movie bila ruhusa ya muhusika ni kosa la jinai? Ndio huko wapo makanjanja na wataendelea kuwepo!
Ni kweli ila unaweza tafuta leseni au ukatafsiri movie zilizopo kwenye public domain. Kupata leseni ya kutafsiri movie kama za kinigeria haiwezi kuwa gharama kubwa.
 
Ni kweli ila unaweza tafuta leseni au ukatafsiri movie zilizopo kwenye public domain. Kupata leseni ya kutafsiri movie kama za kinigeria haiwezi kuwa gharama kubwa.
Ni kosa lakini kama sio ya nchi yenyu basi hakuna atakayekufuata, movie kibao zimetafsiria na hamna lolote
 
Aina ya AK47 hapa mtafsiri anaweza akaweka pozi movie kidogo halafu kwa maelezo mafupi na yaliyoshiba
Hapa umekosea asee, ndiyo maana niliamua kitambo sana niwe na_download movie mwenyewe Netfrix kwa sababu ya mawazo kama yako.

Mfano kuna movie inaitwa Enemy At The Gate kuna mashine zipo humo huyo mtafsiri unayemtaka aelezee hizo siraha movie itaisha hajamaliza kueleza hata mbili.

Mtoa mada nimemuelewa anavyotaka same like me kuwa, watafasiri kile kinachosemwa na waigizaji na kuchombeza na maneno yao.

Hao kina dj muphy nk wanasimulia matukio siyo kutafsiri movie.
 
Na kwa nini uangalie movie ambayo imetafsiriwa

Download movie na subtitle yake, uangalie mbona maisha ni simple tu wakuu
Kweli, kwanza hizo DJ movies zinakera sana,yaani uongo mwingi pale. Mi bora movie niicheki mwenyewe nielewe au hata kama ina subs sawa, lakini kelele za ma DJ hapana, sitambui raha yake! 🀣
✌️
 
Hawatasfiri chochote pale, sawa na mimi niangalie movie alafu niwe 'base' na washkaji, nawasimulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…