Nashauri Wizari ya Nishati kuielekeza TANESCO kusitisha kwa muda kupokea maombi mapya ya kuunganishiwa umeme

Chendembe

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
444
Reaction score
488
Kutokana na mlundikano wa watu waliokwisha lipia gharama za kuunganishiwa umeme na kupelekea kusubiri kupatiwa huduma hiyo kwa muda mrefu, busara yangu inanituma kuishauri Wizara huska KUIELEKEZA TANESCO kuhudumia wahanga hao kwanza kwa muda utakaokadiwa vizuri kumaliza zoezi hilo.

Haipendezi kuona walioomba mapema wakisubiri kwa muda mrefu kwa sababu mbalimbali wakati maombi mapya nayo yanapokelewa.

Wakati mwingine waombaji wapya uhudumiwa mapema kuacha wazamani.

Nawasilisha wanabodi.
 
Kuchelewa kwa watu kutokuunganishiwa umeme hakutokani na wingi wa wateja halali (hawa wanahudumiwa haraka sana).

Kuna wateja haramu wengi Sana waliojitoieza enzi za giza (enzi za jini jiwe) wakalipa elfu 27 eti nao wanataka waunganishiwe umeme. Elfu 27, bei (gharama) ya wapi hii?? Hawa watasubiri Sana!

Wateja halali ukilipa leo ndani ya wiki unaunganishiwa umeme
 
Aibu kubwa kwa mtoto wa mtumwa ambaye anakwenda kujikombakomba kama katoto kalikokosa lawalawa.
 
Kuchelewa kwa watu kutokuunganishiwa umeme hakutokani na wingi wa wateja halali (hawa wanahudumiwa haraka sana).

Kuna wateja haramu wengi Sana waliojitoieza enzi za giza (enzi za jini jiwe) wakalipa elfu 27 eti nao wanataka waunganishiwe umeme. Elfu 27, bei (gharama) ya wapi hii?? Hawa watasubiri Sana!

Wateja halali ukilipa leo ndani ya wiki unaunganishiwa umeme
Kishoka kazini
 
Samahani huku mjini elfu 27 imeanza mwaka jana na Rais wa awamu ya tano alikua amekwishafariki.
Vijijini Ndio ilikua elfu 27 na mpaka sasa inaendelea hivyo.
Kama TANESCO imeshindwa kuunganisha wateja wapya watoe tu Maelekezo Kwamna hawatoi huduma yakuunganisha wateja wapya Kwa muda.
 
Kutokana na mlundikano wa watu waliokwisha lipia gharama za kuunganishiwa umeme na kupelekea kusubiri kupatiwa huduma hiyo kwa muda mrefu, busara yangu inanituma kuishauri Wizara huska KUIELEKEZA TANESCO kuhudumia wahanga hao kwanza kwa muda utakaokadiwa vizuri kumaliza zoezi hilo.
Haipendezi kuona walioomba mapema wakisubiri kwa mda mrefu kwa sababu mbalimbali wakati maombi mapya nayo yanapokelewa. Wakati mwingine waombaji wapya uhudumiwa mapema kuacha wazamani.
Nawasilisha wanabodi.
Hata wakisitisha uwezo wao ndo ulipoishia.
Majukumu ya Tanesco kwa nchi nzima ni makubwa kiasi kwamba uwezo wa kujiendesha unazorota kwa kasi sana.
Dawa ni kutupilia mbali muundo wa TANESCO ya sasa.
Tupate makampuni/mashirika binafsi ya kuzalisha umeme, ya kusafirisha umeme long distances na ya kusambaza umeme kwa watumiaji wakubwa na wadogo.
Serikali ishashindwa kufanya biashara ya umeme!
Hivyo hakuna haja kuwa na lishirika likubwaa lisilokuwa na uwezo kibiashara!
 
Nishati ni National Issue, Kufanya ivo ni Compromise Nationa Security, Tanesco acha iendelee Kuwa 100% State Owned, Itafutwe namna tu Private wazalishe Umeme na wauze kwa Serikali kitu ambacho sio Kigeni mana kuna Kampuni ziliwahi kufanya ivo na still zinafanya ivo pawapo na scarcity ila kuwaachia kila kitu Private utakuja kulia apa apa mzee, Ukipewa Breakdown ya Kuunganisha S/line ambayo haitaji nguzo mzee utaogopa na Umeme utakuwa anasa Serikali bado ina beba mzigo kuhakikisha Electrification statistics zinapanda mana umeme hu fuel activities nyingi za maendeleo, Tanesco inaweza ku outsource baadhi ya kazi zake ili kuongeza ufanisi ila kuna sehemu bado ni nyeti sana tanesco na panapaswa kuendelea kuwa managed na States mfano Generation na Transmision, Gov iendelee kutoa Grants kwa ili Shirika as long as Lina Serve national Interest, Transmision pasiguswe kabisa kabisa mana ni eneo nyeti sana
 
Kama nimekuelewa fulani hivi.
Kikwazo cha maendeleo mara zote ni HOFU!
Fear of the unknown!
Basi ngoja ibaki hivyo hivyo.
 
Nishati ni National Issue, Kufanya ivo ni Compromise Nationa Security, Tanesco acha iendelee Kuwa 100% State Owned, Itafutwe namna tu Private wazalishe Umeme na wauze kwa Serikali kitu ambacho sio Kigeni mana kuna Kampuni ziliwahi kufanya ivo na still zinafanya ivo pawapo na scarcity ila kuwaachia kila kitu Private utakuja kulia apa apa mzee, Ukipewa Breakdown ya Kuunganisha S/line ambayo haitaji nguzo mzee utaogopa na Umeme utakuwa anasa Serikali bado ina beba mzigo kuhakikisha Electrification statistics zinapanda mana umeme hu fuel activities nyingi za maendeleo, Tanesco inaweza ku outsource baadhi ya kazi zake ili kuongeza ufanisi ila kuna sehemu bado ni nyeti sana tanesco na panapaswa kuendelea kuwa managed na States mfano Generation na Transmision, Gov iendelee kutoa Grants kwa ili Shirika as long as Lina Serve national Interest, Transmision pasiguswe kabisa kabisa mana ni eneo nyeti sana
Mkuu umeandika kitu kweli kabisa' hesabu halisi ya vifaa vya umeme mpaka mteja anafungiwa ni gharama kubwa sana kwa mwananchi wa kawaida ambao tuko zaidi ya 70% Tanzania. Kampuni Binafsi hazitaweza hii biashara kwani gharama zote lazima azipate(zirudi) na hana ruzuku. Hivyo ni kweli Tanesco bado wana jitahidi kwa uwezo wao kutoa huduma kwa wateja wake ila mzigo wao hata baadhi ya staff wao wanasema wazi shirika lina uwezo wa kufa iwapo halitaachwa lijiendeshe kwa utaratibu bora na sio SIASA.
 
Mambo mazuri yaja tusubiri huyu bwana mipango aje na ubunifu wake ....najua sekta binafsi itapewa kitu cha kufanya hasa huku mwishoni ....kwa wateja....
 
Kuchelewa kwa watu kutokuunganishiwa umeme hakutokani na wingi wa wateja halali (hawa wanahudumiwa haraka sana).

Kuna wateja haramu wengi Sana waliojitoieza enzi za giza (enzi za jini jiwe) wakalipa elfu 27 eti nao wanataka waunganishiwe umeme. Elfu 27, bei (gharama) ya wapi hii?? Hawa watasubiri Sana!

Wateja halali ukilipa leo ndani ya wiki unaunganishiwa umeme
Kwa nini unawaita wateja haramu waliolipia elfu 27 kuunganishiwa umeme??
Tanesco inatakiwa kuunganisha umeme BURE kabisa
 
Hata wakisitisha uwezo wao ndo ulipoishia.
Majukumu ya Tanesco kwa nchi nzima ni makubwa kiasi kwamba uwezo wa kujiendesha unazorota kwa kasi sana.
Dawa ni kutupilia mbali muundo wa TANESCO ya sasa.
Tupate makampuni/mashirika binafsi ya kuzalisha umeme, ya kusafirisha umeme long distances na ya kusambaza umeme kwa watumiaji wakubwa na wadogo.
Serikali ishashindwa kufanya biashara ya umeme!
Hivyo hakuna haja kuwa na lishirika likubwaa lisilokuwa na uwezo kibiashara!
Uko sahihi, TANESCO inapotezea watu muda tu.
 
Kuchelewa kwa watu kutokuunganishiwa umeme hakutokani na wingi wa wateja halali (hawa wanahudumiwa haraka sana).

Kuna wateja haramu wengi Sana waliojitoieza enzi za giza (enzi za jini jiwe) wakalipa elfu 27 eti nao wanataka waunganishiwe umeme. Elfu 27, bei (gharama) ya wapi hii?? Hawa watasubiri Sana!

Wateja halali ukilipa leo ndani ya wiki unaunganishiwa umeme
Nyie wenye matako makubwa mara nyingi mnakuwaga hamna akili.
 
Kuchelewa kwa watu kutokuunganishiwa umeme hakutokani na wingi wa wateja halali (hawa wanahudumiwa haraka sana).

Kuna wateja haramu wengi Sana waliojitoieza enzi za giza (enzi za jini jiwe) wakalipa elfu 27 eti nao wanataka waunganishiwe umeme. Elfu 27, bei (gharama) ya wapi hii?? Hawa watasubiri Sana!

Wateja halali ukilipa leo ndani ya wiki unaunganishiwa umeme
Akili zakijinga hizi
 
Ndugu yangu mama kahalalisha mwenyewe kila mtu anakula kulingana na urefu wa kamba yake. Nililipia umeme wa 27000. But had naupata nikawa nimetoka 280000. Hapo ndo Kuna shida mara MITA hazipo. Mara nyaya hazipo. Ni fulu kuzungushwa. Na hapo nimelpia tangu mwezi 4 mwaka 2021
 
Kuchelewa kwa watu kutokuunganishiwa umeme hakutokani na wingi wa wateja halali (hawa wanahudumiwa haraka sana).

Kuna wateja haramu wengi Sana waliojitoieza enzi za giza (enzi za jini jiwe) wakalipa elfu 27 eti nao wanataka waunganishiwe umeme. Elfu 27, bei (gharama) ya wapi hii?? Hawa watasubiri Sana!

Wateja halali ukilipa leo ndani ya wiki unaunganishiwa umeme
Acha chuki,jpm ni marehemu leo siyo Kila kitu lzm kilipiwe thamani yake halisi wkt mwingine serikali huweka ruzuku,hilo limewashinda akina mwigulu pamoja na majisifu yao na tozo kibao.jpm alikuwa akili kubwa nchi hii hajawahi tokea kiongozi Kama JPM rip.
 
Back
Top Bottom