Chendembe
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 444
- 488
Kutokana na mlundikano wa watu waliokwisha lipia gharama za kuunganishiwa umeme na kupelekea kusubiri kupatiwa huduma hiyo kwa muda mrefu, busara yangu inanituma kuishauri Wizara huska KUIELEKEZA TANESCO kuhudumia wahanga hao kwanza kwa muda utakaokadiwa vizuri kumaliza zoezi hilo.
Haipendezi kuona walioomba mapema wakisubiri kwa muda mrefu kwa sababu mbalimbali wakati maombi mapya nayo yanapokelewa.
Wakati mwingine waombaji wapya uhudumiwa mapema kuacha wazamani.
Nawasilisha wanabodi.