Nashauri zitengenezwe noti za picha ya rais samia kama kumbukumbu ya rais wa kwanza mwanamke TZ

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Historia imeshatengenezwa na haiwezi kufutika vizazi na vizazi .

Jina la rais Samia litabaki jina la kukumbukwa nchini Tanzania kama rais wa kwanza mwanamke hapa nchini .

Sasa ili kuenzi hilo inabidi zichapishwe noti zenye picha ya rais Samia kama ilivyokuwa noti zenye sura ya Nyerere, Karume nk
 
Na wananchi wote wapewe tshirt zenye picha ya samia
Wawe wanazivaa kila trh 29 Oktoba
 
Historia imeshatengenezwa na haiwezi kufutika vizazi na vizazi .

Jina la rais Samia litabaki jina la kukumbukwa nchini Tanzania kama rais wa kwanza mwanamke hapa nchini .

Sasa ili kuenzi hilo inabidi zichapishwe noti zenye picha ya rais Samia kama ilivyokuwa noti zenye sura ya Nyerere, Karume nk
Hatutaki
 
Ujinga ujinga tu
Screenshot_20260909-180938~2.jpg
 
Historia imeshatengenezwa na haiwezi kufutika vizazi na vizazi .

Jina la rais Samia litabaki jina la kukumbukwa nchini Tanzania kama rais wa kwanza mwanamke hapa nchini .

Sasa ili kuenzi hilo inabidi zichapishwe noti zenye picha ya rais Samia kama ilivyokuwa noti zenye sura ya Nyerere, Karume nk
Pia ukoo wenu wote muitwe SAMIA ili mumuenzi huyo mnayemubudu.
 
Historia imeshatengenezwa na haiwezi kufutika vizazi na vizazi .

Jina la rais Samia litabaki jina la kukumbukwa nchini Tanzania kama rais wa kwanza mwanamke hapa nchini .

Sasa ili kuenzi hilo inabidi zichapishwe noti zenye picha ya rais Samia kama ilivyokuwa noti zenye sura ya Nyerere, Karume nk
YBWYB......
 
Back
Top Bottom