Nashauri zitengenezwe noti za picha ya rais samia kama kumbukumbu ya rais wa kwanza mwanamke TZ

Nashauri zitengenezwe noti za picha ya rais samia kama kumbukumbu ya rais wa kwanza mwanamke TZ

Ukimkubali mtu unaweza tengeneza njia yako peculiar ya kumkumbuka na kumuenzi.

Unaweza chora tatoo, ukatengeneza sanamu nyumbani kwako, ukaweka picha mbali mbali,ku print t-shirts,nk.

Hizo ni njia sahihi na rahisi ambazo hazihitaji majadiliano wala kugusa hisia za watu wengine
 
Itakuwa kumbukumbuka mbaya sana kubakia kwenye noti au sarafu ya nchi, Samuya ni rais wa kwanza kuuua watu wengi zaidi ya 518 kuliko vita yoyote tuliowahi kupigana. Amalizie miaka zake arudi kwake kizimkazi
 
Historia imeshatengenezwa na haiwezi kufutika vizazi na vizazi .

Jina la rais Samia litabaki jina la kukumbukwa nchini Tanzania kama rais wa kwanza mwanamke hapa nchini .

Sasa ili kuenzi hilo inabidi zichapishwe noti zenye picha ya rais Samia kama ilivyokuwa noti zenye sura ya Nyerere, Karume nk
Kweli tumkumbuke Tanzania's Butcher!
 
Weka sanamu nyumbani kwako uwe unampigia nyeto hiyo itakufanya umkumbuke vizuri
 
Vijana mkishamaliza kupiga nyeto kwa mafuta ya taa akili zinawaruka kabisa mnaishia kuandika nyuzi za kipuuzi sana qqmqmqke zako mleta uzi
 
Historia imeshatengenezwa na haiwezi kufutika vizazi na vizazi .

Jina la rais Samia litabaki jina la kukumbukwa nchini Tanzania kama rais wa kwanza mwanamke hapa nchini .

Sasa ili kuenzi hilo inabidi zichapishwe noti zenye picha ya rais Samia kama ilivyokuwa noti zenye sura ya Nyerere, Karume nk
 

Attachments

  • 6405238-eae1ceee959bf6fd97d9fb2eab102cc4.mp4
    9.2 MB
Historia imeshatengenezwa na haiwezi kufutika vizazi na vizazi .

Jina la rais Samia litabaki jina la kukumbukwa nchini Tanzania kama rais wa kwanza mwanamke hapa nchini .

Sasa ili kuenzi hilo inabidi zichapishwe noti zenye picha ya rais Samia kama ilivyokuwa noti zenye sura ya Nyerere, Karume nk
Hapana
 
Hao walikaidi agizo la serikali wengine pia walikuwa ni wezi na wanyang'anyi kwa kivuli cha maandamano.
Kama Sheikh Shariff Majini na Yule mtangazaji wa Clouds. Waandamanaji wachache walikufa. Wengi waliokufa hawakuwa kwenye maandamano. Punguza dhihaka
 
Hivi wewe una akili kweli!!

Hakuna sababu ya kuwekwa picha yake kwenye pesa. Ikiwekwa picha yake kwenye vitabu vya kumbukumbu kuwa huyo ndiye alikuwa Rais wa kwanza mwanamke, muuaji kuliko marais wote waliowahi kutokea Afrika, mdhulumaji haki kuliko mtawala wa Taifa lolote Afrika, inatosha.

Na kila siku ya maadhimisho ya haki Duniani, taarifa ya mauaji aliyoyafanya ziwe zinasomwa Duniani kote ili kuitahadharisha Dunia, na kuhakikisha mataifa yanaweka mifumo ya kuzuia kabisa watawala dhulumati wa haki za binadamu, wa kiwango chake hawatikei tena katika Ulimwengu huu. Viongozi wabaya wa kiwango chake, wasioheshimu uhai wa binadamu wenzao, wadhulumaji wakuu wa haki za binadamu hawatokei tena. Pembeni yake ziwekwe picha za waliokuwa wasaidizi wake katika kuwaua binadamu, kuwateka na kuwatesa. Hiyo itakuwa ni kumbukumbu yenye kumfaa kutokana na matendo yake, yenye kuisaidia Dunia.
 
Back
Top Bottom