Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Na wananchi wote wapewe tshirt zenye picha ya samiaHistoria imeshatengenezwa na haiwezi kufutika vizazi na vizazi .
Jina la rais Samia litabaki jina la kukumbukwa nchini Tanzania kama rais wa kwanza mwanamke hapa nchini .
Sasa ili kuenzi hilo inabidi zichapishwe noti zenye picha ya rais Samia kama ilivyokuwa noti zenye sura ya Nyerere, Karume nk
Hao walikaidi agizo la serikali wengine pia walikuwa ni wezi na wanyang'anyi kwa kivuli cha maandamano.Waweke na zile za WaTanganyika waliouawa oct 29 2025
Jezi za taifa stars zitakuwa na jina la samiaNa wananchi wote wapewe tshirt zenye picha ya samia
Wawe wanazivaa kila trh 29 Oktoba
HatutakiHistoria imeshatengenezwa na haiwezi kufutika vizazi na vizazi .
Jina la rais Samia litabaki jina la kukumbukwa nchini Tanzania kama rais wa kwanza mwanamke hapa nchini .
Sasa ili kuenzi hilo inabidi zichapishwe noti zenye picha ya rais Samia kama ilivyokuwa noti zenye sura ya Nyerere, Karume nk
Bila kusahau picha za mauaji ya halaiki ya MO29..noti zenye picha ya rais Samia
Kumbe anefail kulinda mgongo wakeTokea unifate PM nikufumue nlijua tu akili zako fupi
Hazina picha yake.Jezi za taifa stars zitakuwa na jina la samia
Pia ukoo wenu wote muitwe SAMIA ili mumuenzi huyo mnayemubudu.Historia imeshatengenezwa na haiwezi kufutika vizazi na vizazi .
Jina la rais Samia litabaki jina la kukumbukwa nchini Tanzania kama rais wa kwanza mwanamke hapa nchini .
Sasa ili kuenzi hilo inabidi zichapishwe noti zenye picha ya rais Samia kama ilivyokuwa noti zenye sura ya Nyerere, Karume nk
Ndo mkaamua kuwauwa na kuwafukia kusikojulikana?Hao walikaidi agizo la serikali wengine pia walikuwa ni wezi na wanyang'anyi kwa kivuli cha maandamano.
YBWYB......Historia imeshatengenezwa na haiwezi kufutika vizazi na vizazi .
Jina la rais Samia litabaki jina la kukumbukwa nchini Tanzania kama rais wa kwanza mwanamke hapa nchini .
Sasa ili kuenzi hilo inabidi zichapishwe noti zenye picha ya rais Samia kama ilivyokuwa noti zenye sura ya Nyerere, Karume nk
Kumbe anefail kulinda mgongo wake