[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilijua 14 Billions kumbe 14B Gear Box Spine.
Nilikuambia mkuu...Kweli watu tunatofauti..
Na more power=More Consumption sio?1HZ engine ni kubwa kuliko 14B (4.2 L) na ni ya karibuni,14B engine ina 3.7 L.Halafu hii ya 1HZ ni kwa ajili ya Prado L/Cruiser na Coaster aliyekushauri anataka gari yako iwe na more power.
Hivi vitu viwili ni "directly proportional" hakuna namna ya kukwepa ,,ila mwenye 14B atakuwa anasoma tuu namba kwa nyuma ukiwa barabarani na 1HZ.Na more power=More Consumption sio?
Mzee baba hapo achague Consumption Vs Performance.Hivi vitu viwili ni "directly proportional" hakuna namna ya kukwepa ,,ila mwenye 14B atakuwa anasoma tuu namba kwa nyuma ukiwa barabarani na 1HZ.
Mzee baba hapo achague Consumption Vs Performance.
Hahahah daah mwanangu umenichekesha kinyama hapo kwny Nb,hahah.Kama gari anaitumia kwa daladala haina haja ya kutaka power kubwa maana hawezi kimbia na foleni nyingi itamtesa ila kama chuma inatoka nje ya mji na kuna ligi basi achukue hiyo mashine.
Nb:Nami mimi nishakua fundi magari baada ua kusoma Nyuzi za hapa hapa[emoji16][emoji16]
Hivi vitu viwili ni "directly proportional" hakuna namna ya kukwepa ,,ila mwenye 14B atakuwa anasoma tuu namba kwa nyuma ukiwa barabarani na 1HZ.
Utoto unao wewe unaelisha wenzako maneno.Gari kuwa na nguvu siyo lazima iwe ya mwendokasi,,kuna mazingara ambayo nguvu kubwa inahitajikakwa hiyo uliposema "nguvu" ulimaanisha "mwendokasi" ?
mwendokasi sio kipaumbele cha kila matumizi
kuna utoto hapo...
Kwa daladala zetu za hapa mjini bora abaki ma engine yake 14BKama gari anaitumia kwa daladala haina haja ya kutaka power kubwa maana hawezi kimbia na foleni nyingi itamtesa ila kama chuma inatoka nje ya mji na kuna ligi basi achukue hiyo mashine.
Nb:Nami mimi nishakua fundi magari baada ua kusoma Nyuzi za hapa hapa[emoji16][emoji16]
Kwa daladala zetu za hapa mjini bora abaki ma engine yake 14B
Kama njia ni nzuri hakuna maana ya kuwa na injini kubwa isipokuwa vinginevyo.KWA NINI ??