Nashauriwa niitoe 14B niweke 1hz engine Coaster. Ushauri wenu

Nashauriwa niitoe 14B niweke 1hz engine Coaster. Ushauri wenu

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Samahani sio mtalaam sana wa engine za magari, lakini nina Coaster boksi ilikua imepata hitlafu kidogo kwenye engine, wakati nafanya mchakato wa matengenezo kuna watu wanasema engine hizo ni za muda mrefu sana inabidi nitafute 1hz.

Lakini wakati huo huo kuna fundi ana nimabia hakuna engine zinazo tengenezeka kama 14B engine.

Najua JF kuna wazoefu, naona ushauri wenu.

BF31350_1.jpg
 
Mkuu tubadilishane unipe 14b nikupe 1hz
 
1HZ engine ni kubwa kuliko 14B (4.2 L) na ni ya karibuni,14B engine ina 3.7 L.Halafu hii ya 1HZ ni kwa ajili ya Prado L/Cruiser na Coaster aliyekushauri anataka gari yako iwe na more power.
Na more power=More Consumption sio?
 
Kama gari anaitumia kwa daladala haina haja ya kutaka power kubwa maana hawezi kimbia na foleni nyingi itamtesa ila kama chuma inatoka nje ya mji na kuna ligi basi achukue hiyo mashine.

Nb:Nami mimi nishakua fundi magari baada ua kusoma Nyuzi za hapa hapa[emoji16][emoji16]
Mzee baba hapo achague Consumption Vs Performance.
 
Kama gari anaitumia kwa daladala haina haja ya kutaka power kubwa maana hawezi kimbia na foleni nyingi itamtesa ila kama chuma inatoka nje ya mji na kuna ligi basi achukue hiyo mashine.

Nb:Nami mimi nishakua fundi magari baada ua kusoma Nyuzi za hapa hapa[emoji16][emoji16]
Hahahah daah mwanangu umenichekesha kinyama hapo kwny Nb,hahah.
 
Ukihitaji more perfomance weka 1HZ ila kama unataka kuwa na less consumption baki na 14B. Lakini pia zipo 14B-T ambazo ni turbo charged.
 
Hivi vitu viwili ni "directly proportional" hakuna namna ya kukwepa ,,ila mwenye 14B atakuwa anasoma tuu namba kwa nyuma ukiwa barabarani na 1HZ.

kwa hiyo uliposema "nguvu" ulimaanisha "mwendokasi" ?

mwendokasi sio kipaumbele cha kila matumizi

kuna utoto hapo...
 
kwa hiyo uliposema "nguvu" ulimaanisha "mwendokasi" ?

mwendokasi sio kipaumbele cha kila matumizi

kuna utoto hapo...
Utoto unao wewe unaelisha wenzako maneno.Gari kuwa na nguvu siyo lazima iwe ya mwendokasi,,kuna mazingara ambayo nguvu kubwa inahitajika
 
Kama gari anaitumia kwa daladala haina haja ya kutaka power kubwa maana hawezi kimbia na foleni nyingi itamtesa ila kama chuma inatoka nje ya mji na kuna ligi basi achukue hiyo mashine.

Nb:Nami mimi nishakua fundi magari baada ua kusoma Nyuzi za hapa hapa[emoji16][emoji16]
Kwa daladala zetu za hapa mjini bora abaki ma engine yake 14B
 
Wadau vp kuhusu hizi Nissan Civilian kwa biashara ya daladala naona watu wanazichukua sana.
 
Back
Top Bottom