Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Samahani sio mtalaam sana wa engine za magari, lakini nina Coaster boksi ilikua imepata hitlafu kidogo kwenye engine, wakati nafanya mchakato wa matengenezo kuna watu wanasema engine hizo ni za muda mrefu sana inabidi nitafute 1hz.
Lakini wakati huo huo kuna fundi ana nimabia hakuna engine zinazo tengenezeka kama 14B engine.
Najua JF kuna wazoefu, naona ushauri wenu.
Lakini wakati huo huo kuna fundi ana nimabia hakuna engine zinazo tengenezeka kama 14B engine.
Najua JF kuna wazoefu, naona ushauri wenu.