Nashera Hotel yawekwa sokoni, nini kimeikumba?

H
Wateja wamepungua sana, hasa wa vikao, morena na edema hotels wanawakimbiza sana, hata Morogoro hotel inapumulia mashine.
hivi Mkuu vipi kuusu Flomi na Kingsway hizi hotel bado zipo nmekumbuka sana hizi
 
Wakati nikiwa advance, kuna likizo ndogo nilienda kujifungia hapo, shule wanajua niko home, na home wanajua niko shule.

Woiiiiiih!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wamepatwa na nn had wanauza? Lol
aisee kumbe ulianza zaman hii michezo...libaba likakufungia hapo linakupakua kisamvu tu🤔
 
Wakati nikiwa advance, kuna likizo ndogo nilienda kujifungia hapo, shule wanajua niko home, na home wanajua niko shule.

Woiiiiiih!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wamepatwa na nn had wanauza? Lol
Comment yako imehamisha mjadala wote umeelekezwa kwako siyo Nasera tena🤣
 
Serikali ilinunue kwa ajili ya kazi maalumu za kiserikali. Raha jipe mwenyewe sio mijemgo mizuri watumishi waishie kuona ni kwa ajili ya wawekezaji.

WAPI LILE SHIRIKA LA UMMA LINALO KUWA NA MIRADI YA MAJENGO?
strategy za bishara kwani kuna mahotel mangapi yanatumia hizi strategy na kubadili majina nk. ..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…