Nashindwa kum define Lisu my once favorite politician!
Nashindwa kumwelezea Lisu, mwanasiasa niliyempenda sana hapo awali!
Pengine anaweza kufafanuliwa kama mtu mwenye mgawanyiko mkubwa—kukosekana kwa uwiano kati ya mawazo, hisia, na tabia.
Hii husababisha mtazamo potofu, matendo yasiyofaa, kujitenga na hali halisi, na kupoteza mwelekeo wa kiakili. Ni mtazamo uliojaa migongano na ukinzani wa ndani.
Viongozi wa kweli wanapaswa kuongoza kwa mfano.
Hawapaswi kuogopa kushindwa, bali wanapaswakuwajibika pale yanapotokea makosa.
Kiongozi mzuri ni yule ambaye anatambua juhudi za pamoja wanachama kufanikisha malengo