Nashindwa kabisa kumuelewa Tundu Lissu, moja kati ya wanasiasa niliokuwa nawakubali sana

Nashindwa kabisa kumuelewa Tundu Lissu, moja kati ya wanasiasa niliokuwa nawakubali sana

Huyu ni member wa Covid 19

P
Ziko njia nyingi za kuishinikiza Serikali sio lazima Chama, angalia tu GenZ Kenya walilianzisha bila Vyama na REFORMS zikafanyika.

Tukiogopa Chama kufungiwa basi tutakuwa Vibaraka tu milele.


Sijui ni Kwanini wabongo wengi wanashindwa kufungua akili zao na kufahamu jambo hili na mambo mengine kwa upana.
They are having fixed minds always badala ya kuwa na glowing minds kuruhusu fikra huru na haki na kujifunza mambo mapya.
 
Hongo upofusha kwakweli,Kuna watu niliwaona wanaakili kumbe hovyo kabisa..Sasa hapo mumetiwa Kichwa na Dully siku akiingiza mzigo wote kwa tundu si mutamuachia chama kabisa.Munatia hasiraa bana aaaa
 
Back
Top Bottom