Mbona wewe mwenyewe unalalamika na kumlaumu "kwa kutumia hisia zako tu " sawa huyu unayemuona anaenda kwa "hisia...?"
What is the difference between you and him if I may ask..?
Aongoze kwa mfano upi ambao wewe hujauona kwake kama kiongozi at least ktk nafasi mbalimbali alizoshika ndani na nje ya chama...?
Baadhi ya sifa kuu za kiongozi yeyote wa umma popote ni:
A:
Truthfulness (mkweli)
B:
Confidence (Jasiri/aliye tayari hata kufa kwa ajili ya watu wake)
C:
Trustfulness (mwaminifu/anayeaminika)
D:
Transparent (muwazi)
E:
Visionary (mwenye maono ya wapi anataka taasisi iende)
F:
Cooperative (mshirikishaji)
G:
Unselfishness (asiye mbinafsi)
H:
Realistic (mwenye vision na mipango ambayo ni halisi na insyotekelezeka kwa anaowaongoza)
I:
Moral Quality (mwenye maadili ya kiuongozi)
J.
Consistent (asiye kigeugeu ktk misimamo yake) nk nk
##Katika sifa hizi baadhi tu, hebu sema moja au mbili tu ambazo huyu bwana hana...
##Hivi kuna kiongozi gani ndani ya CHADEMA au ndani ya CCM ama popote anayeweza kukataa "blank Cheque ya kujaza mwenyewe kiwango utakacho" cha mapesa ya hongo ya Abdul ili tu uache kumkosoa mpinzani wako kisiasa? Huu kama si uadilifu, uaminifu na uwazi ni kitu gani kwako wewe ndugu
Retired ?
##Freeman Mbowe pamoja na majigambo ya utajiri wake wa fedha na vitu tokana na biashara zake, lakini kwa pesa za Abdul na mama Abdul amekwama kwenye mtego wa kipengere hicho. Nani mwadilifu kati ya watu hawa wawili..?
I thought ungejenga hoja yako kwa kuonesha vivid examples inayo portray hisia za Tundu Lissu na wewe ukionesha ukweli wako...
I bet to say, hata hujui ulichokiwasilisha hapa dude...
Tundu Lissu ni kichwa kile. Hana longo longo aisee. Huyu jamaa ni NURU lakini eti GIZA linajaribu kuifukuza NURU. Is it possible....?
Mnamwona mropokaji kwa kuwa mambo yenu ya gizani sasa yanawekwa NURUNI na sasa mnajaribu kuishambulia NURU...!!
Scenario ya vita hii anayopambana nayo Tundu Lissu dhidi ya mfumo uliooza kwa ujumla wake, ndio kama ule wa watawala wa dunia ya wakati wa Yesu Kristo ambao Yesu Kristo alikuja toka mbinguni kuja kuufumua na kujenga mfumo mpya na ndivyo ilivyo leo...
Walimshambulia sana na kumuita kila jina baya la udhalilishaji na kutweza utu wake. Walikuwa wanaambiwa ukweli na mambo na matendo yao mabaya. Mioyoni mwao walijua ni kweli mambo hayako sawa. Lakini kwa sababu ya ugumu wa mioyo yao, kwa nje waliikataa kweli na kuamua kubaki gizani (upande wa shetani)..
Kwa kwa kuwa walishindwa kuona uongo na makosa ndani ya Yesu Kristo ili kumshitaki na kumpoteza kabisa asiendelee kuwasumbua, walimtungia makosa ya uongo. Kwa kudhani wamempoteza mazima, wakauteka mfumo wa haki. Yesu Kristo akakutwa na hatia ya kubambikiza. Akahukumiwa kunyongwa (kusulubiwa msalabani hadi afe)....
Ikawa hivyo lakini hawakutambua kuwa hiyo ndiyo ilikuwa njia ya kuvunja na kuuharibu mfumo dhalimu wa utawala wa serikali zs kidunia za wakati huo na wa sasa...
Mwamba kumbe hakufa kwani baada ya siku tatu akaonekana akiwa hai tena. Kumbe alishuka pande za chini kabisa kwenda kummaliza na adui dhalimu aliyekuwa kuzimu..
Hili ni fundisho kuwa WENYE HAKI HAWAFAGI na HAKUNA AWEZAYE KUWAPOTEZA...!
Unachokifikiria na kukifanya wewe na kundi lenu kuutetea udhalimu dhidi ya mtu meema Tundu Lissu, si kigeni kwa sbb kilishafanyika huko nyuma kwa watu kama huyu jamaa. Hawakufanikiwa...!
Wenye akili na ufahamu na uelewa ulio thabiti wanamwelewa sana na wanakubali kuwa, THIS IS A TRUE LEADER...