Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UmeshindaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaNi Lissu sio Lisu.
👏👏👏👏👏👏👏SIMTETEI YOYOTE, MBOWE SINA UCHAWA NAYE, MY FAVORITE POLITICIAN WAS LISU FOLLOWED BY MBOWE. NILITAMANI AMWACHIE LISU,,...LAKINI KWA BEHAVIOUR HII YA LISU hapana! hapana, hapana.
LISU ATASABABISHA HATA CHAMA KIFUTWE. MFANO SAMIA AKIAMUA KUKIFUTA LISU ATAMFANYA NINI? ULISHAWAHI KUJIULIZA HILO? Most probably utasema hawezi!!!!!!
Mgambo wanaruka na kukanyagana😂Aibu tupu.
Watu nilikuwa nahisi wako tayari kufa kwa ajili ya Lisu leo wanamwita kachanganyikiwa
Lisu alishawahi kutangazia watu waingie kwa barabara na hawakuingiaUnadhani Lisu atamlazimisha Samia kufanya anayouataka. Anatafuta risasi za pili. By the way ametangaza confrontation, ngoja tuone atakavyo fanya hiyo confrontation na Samia!
Kuna wakati mazungumzo ndiyo njia kama hakuna nguvu ya Umma. Asitegemee Kuna mtanzania ataingia barabarani kufa... Sisi mimmaiti kama alivyosema Kenyatta
Tundu lisu akiwa kiongozi inabidi awepo mtu wa juu yake kumsimamia, akiwa yeye ndio kiongozi mkuu atakwama Mambo mengi sanaNashindwa kum define Lisu my once favorite politician!
Nashindwa kumwelezea Lisu, mwanasiasa niliyempenda sana hapo awali!
Pengine anaweza kufafanuliwa kama mtu mwenye mgawanyiko mkubwa—kukosekana kwa uwiano kati ya mawazo, hisia, na tabia.
Hii husababisha mtazamo potofu, matendo yasiyofaa, kujitenga na hali halisi, na kupoteza mwelekeo wa kiakili. Ni mtazamo uliojaa migongano na ukinzani wa ndani.
Viongozi wa kweli wanapaswa kuongoza kwa mfano.
Hawapaswi kuogopa kushindwa, bali wanapaswakuwajibika pale yanapotokea makosa.
Kiongozi mzuri ni yule ambaye anatambua juhudi za pamoja wanachama kufanikisha malengo
Na mpaka sasa ameendelea kuwasababishia magonjwa, na watalazwa sana mwaka huuHuyo Lissu tangu aanze kupewa magonjwa nadhani yamefika elfu moja sasa.Changamoto ya wapokea ujumbe wengi wa Lissu wana mazoea ya kutopokea ujumbe wa moto/kama ulivyonyooka.Wanapenda na wamezoea kuambiwa kwa mafumbo,kudekezwa na kubembelezwa.Watazoea tu.
Mwambie Mbowe wakati ukuta, shida iko wapi? Kama ni busara basi Mbowe ndio alipaswa kuitumia sasa. Watu wa aina ya kina Mbowe huwa hawakai pembeni hadi itumike nguvu kuwatoa.Very true! Nimeumia kweli maana chadema niliipenda sana na Lisu was my favorite mwanasiasa. Nilimpenda kwa uhodari wa kujenga hoja akiwa bungeni na nje ya bunge. A very good guy! One to admire
SASA, uenyekiti umemkengua. Huwezi kuua chama ambacho kimekufikisha hapo ulipo! Chadema is heading to a grave like CUF , NCCR Mageuzi, and the rest of the so called vyama vya siasa!
Kuna wakati wa kusema ukweli na kunyamaza kusema Ukweli ambao unaona utaisambatatishha famlia. Usipoliona hilo...HUNA BUSARA, HUFAI KABISA.
Yanayojadiliwa ndani ya Baraza la mawaziri huwa ni siri....unless yameruhusiwa kutangazwa, likewise kwenye vyama vyetu. sasa Lisu anatoa siri za ndani ya chama kama vile hakuwa sehemu ya maamuzi! Huyo ni hatari..kisa Uenyekiti!
Anawapeleka putaputa hadi wanakaa upandeupande kama wanaangalia muvi ya kutisha/horror movie!Lissuuuu wapeleke hivyohivyo hadi waimbe haleluya!Na mpaka sasa ameendelea kuwasababishia magonjwa, na watalazwa sana mwaka huu
Ukiwakuta wanamuongela Lissu au wanachamba na kulalamika kuhusu Lissu, huwa wanatembea na kuweka mikono kama burna boyAnawapeleka putaputa hadi wanakaa upandeupande kama wanaangalia muvi ya kutisha/horror movie!Lissuuuu wapeleke hivyohivyo hadi waimbe haleluya!
Asili yao hawaiachi,haiwaachi.Ukiwakuta wanamuongela Lissu au wanachamba na kulalamika kuhusu Lissu, huwa wanatembea na kuweka mikono kama burna boy
View attachment 3184203
Vipi hii Krismasi twende Nyumbani kwa Lissu na katoni zetu za Konyagi halafu tuwaambie kambi ya Sultani Mbowe kuwa Konyagi zimetoka kwa Mchungaji Msigwa ili wajae nyavuni kama wote halafu Lissu anawakataa kwenye Press.Anawapeleka putaputa hadi wanakaa upandeupande kama wanaangalia muvi ya kutisha/horror movie!Lissuuuu wapeleke hivyohivyo hadi waimbe haleluya!
Lissu yupo na tatizo kubwa na kwa kweli tuwe makini naye kwenye uongozi wa juu wa CHAMA.No, sitakujibu......., please thoroughly analyze Lisu's recent behavior! particularly in terms of relationship with his team mate in his party
Kwasababu katika modern world hatutumii card ya ukabila, it’s a worst card to use… unless umeamua kufanya siasa kama za CCM. Pia utatakiwa kujustify kama waliopewa nafasi hawastahili, ni ngumu kujustify.Kuna tuhuma moja ambayo Tundu Lissu sijamsikia akiiongelea ni tuhuma ya UKABILA, kwenye tuhuma ya RUSHWA Lissu yuko 🔊loud and clear.
Ninaamini Lissu akishinda atafanya REFORMS kwenye Chama hilo sina wasiwasi nalo.
Naunga mkono hojaViongozi wa kweli wanapaswa kuongoza kwa mfano.
Hawapaswi kuogopa kushindwa, bali wanapaswakuwajibika pale yanapotokea makosa.
Mbona wewe mwenyewe unalalamika na kumlaumu "kwa kutumia hisia zako tu " sawa huyu unayemuona anaenda kwa "hisia...?"Nashindwa kum define Lisu my once favorite politician!
Nashindwa kumwelezea Lisu, mwanasiasa niliyempenda sana hapo awali!
Pengine anaweza kufafanuliwa kama mtu mwenye mgawanyiko mkubwa—kukosekana kwa uwiano kati ya mawazo, hisia, na tabia.
Hii husababisha mtazamo potofu, matendo yasiyofaa, kujitenga na hali halisi, na kupoteza mwelekeo wa kiakili. Ni mtazamo uliojaa migongano na ukinzani wa ndani.
Viongozi wa kweli wanapaswa kuongoza kwa mfano.
Hawapaswi kuogopa kushindwa, bali wanapaswakuwajibika pale yanapotokea makosa.
Kiongozi mzuri ni yule ambaye anatambua juhudi za pamoja wanachama kufanikisha malengo