Bila Shaka mu wazima, naomba msaada wenu, mimi na mpenzi wangu tumeachana huu mwezi wa tano, lakini nashindwa kabisa kufuta namba yake.
Lengo la kutofuta namba yake ni ili niwe nafuatilia status zake, but yeye hajui kama naziona, vilevile yeye pia hufuatilia zangu bila kificho.
Naomba mnisaidie nifanye nini, nimsahau huyu kiumbe, kumblock nilishajaribu lakini baada ya siku ile mbili namu unblock, lakini yeye Kila ninachoweka status lazima aview. Nahisi ameniroga maana siyo kawaida yangu hii.
Nb: Siyo mahusiano yangu ya Kwanza.
- Umri wetu tuko kwenye 29-34