Nashindwa kufuta namba yake japo tumeachana

Nashindwa kufuta namba yake japo tumeachana

Kumbuka na yeyehajafuta namba yangu lakini hatuongeleshani wote, Mara ya Kwanza birthday yangu ndo iliturudisha katika mahusiano, aliniwishi heri ya kuzaliwa nikamjibu na zawadi juu basi tukarudisha mawasiliano, Sasa ninaona karibia siku yangu inafika asije akatumia njia hiyo tujarudiana
Yashanitikea, yaani mtu anakuwish kwa brthday na mnarudiana,ila this time round nmekaza
 
We futa bwanaa mbona mie nimeweza au optiion ya kudelete imeandikwa kwa kiarabu huielewi
 
Ninafanya Mambo yangu na huu Ni mwezi wa tano, najatikbunkuwa na furaha Kama kuhave fun na rafiki zangu, but nikiwa tu mwenyewe mawazo juu yake yanarudi
Fanya sana ngono utasahau
 
In short!!. bado mnafatiliana.

Usijali.
Mtarudiana hivi karibuni baada ya muda wa kujitafakari kuisha.
Kama unampenda kuwa mpole tu.

Mpigie leo na mwambie kuwa bado unampenda usiidhurumu nasfi.

IMG_20210604_085549_618.jpg
 
Mkuu it's a long story, nilishawah iweka hapa kwa id tofauti na hi, na watu wote walinishauri nimuache ndiyo maana nimeona nikija kwa I'd ileile nitakula vichambo Hadi basi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Nimeshakujua[emoji1787][emoji1787][emoji16]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu it's a long story, nilishawah iweka hapa kwa id tofauti na hi, na watu wote walinishauri nimuache ndiyo maana nimeona nikija kwa I'd ileile nitakula vichambo Hadi basi

....Urgh!

Uliachana nae sababu watu “wote” humu walikushauri? Ulikosea.
Ungeachana nae kwa matakwa yako wewe mwenyewe.

No wonder una wasiwasi ukija na ID ile, watu wa humu watakuchamba. Usiishi kwa kuwafurahisha watu. Ishi kwa furaha yako mwenyewe.

Mimi nakushauri usiifute namba yake, ...na wala usiache kuangalia status zake,
Labda inakuongezea ujasiri wa ku move on.

...Na uwe na amani kabisa birthday yako inavyokaribia.
Akikutumia Birthday wishes na salamu, well and good.
Akikupotezea, pia usifadhaike...

Expectations huleta disappointments.
 
Back
Top Bottom