Nashindwa kufuta namba yake japo tumeachana

Nashindwa kufuta namba yake japo tumeachana

Mk
Ni jaribu kubwa. Kuweka moyo na akili(Ubungo) viwe katika makubaliano.
Ni dhahiri kuwa unampenda sana shemeji moyo ndio unasema hivyo lakini akili inataka kuachana na mahusiano hayo. Ushauri wangu:-
1. Kubali kwamba unampenda na unaanza maisha mapya bila yeye. Iambie nafsi yako kuwa hiyo inawezekana;
2. Jipe muda mchache mfano wiki au mwezi wa kukumbuka mazuri yake ili ufungue ujurasa mpya;
3. Mtizame kwa mtazamo tofauti.
Sio rahisi lakini inawezekana.
Mkuu huu ji mwezi wa tano sasa siko.naye , nimejaribu yote hayo lakini imeshindikana,
 
Kumbuka na yeyehajafuta namba yangu lakini hatuongeleshani wote, Mara ya Kwanza birthday yangu ndo iliturudisha katika mahusiano,aliniwishi heri ya kuzaliwa nikamjibu na zawadi juu basi tukarudisha mawasiliano,Sasa ninaona karibia siku yangu inafika asije akatumia njia hiyo tujarudiana
Kama mnapendana rudianeni haya mengine ni swaga tu! Dada hebu kamueleze mwenzio hisia zako ama kama huwezi fanya tuvitu tutakavyomjulisha unataka Tena attention nae atajiongeza mtarudiana!.. usivunge hutaki wakati hisia zataka utakapobananishwa kwenye angle ya Mapenzi utaelewa tu.

We dada umempenda jamaa jitose kurudi kwake alasivyo utateseka na hisia zako mpk ujute kuishi..😂
 
Credit analyst [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu it's a long story, nilishawah iweka hapa kwa id tofauti na hi, na watu wote walinishauri nimuache ndiyo maana nimeona nikija kwa I'd ileile nitakula vichambo Hadi basi
Inaonekana bado unampenda?
 
Mkuu it's a long story, nilishawah iweka hapa kwa id tofauti na hi, na watu wote walinishauri nimuache ndiyo maana nimeona nikija kwa I'd ileile nitakula vichambo Hadi basi
Kila siku tunawambia hum jitahidini mjipe mda kabla yakuachana sasa ngoja umpate mtu halafu awe namapungufu kuliko huyo hapo ndo utaimba hum unatakiwa uombe ushauri namna yakuyajenga namwenzio ila kwenye hatua ya kuachana nivizuri ukaamua mwenyewe
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mm nimeshaamua kuachana, chakufanya nipe tu mbinu ya kumsahau, kutofuta namba Ni kigezo Cha kupendana?
Malovee km seriously umeamua kumuacha unashindwa vip kufuta namba na kumove on? Futa hiyo namba completely then fanya mambo yako atatoka taratibu huwez kumsahau mtu ndan ya wiki au mwez it takes time.
 
Ivi mapenz bado yapo sikuhiz maana ni kama nimesahau tunapendaje.Move on mom
 
Ivi mapenz bado yapo sikuhiz maana ni kama nimesahau tunapendaje.Move on mom
Kwako kukiwa ucku[emoji14][emoji14] mwenzio ndo kwanza
Kwake jua lmechomoza[emoji1][emoji1][emoji1]alfajir
 
Bill Shaka mu wazima, naomba msaada wenu , Mimi na mpenzi wangu tumeachana huu mwezi wa tano ,lakini nashindwa kabisa kufuta namba yake.

Lengo la kutofuta namba yake Ni ili niwe naafatilia status zake, but yeye hajui Kama.naziona, vilevile yeye pia hufatilia zangu bila kificho.

Naomba mnisaidie nifanye nn,nimsahau huyu kiumbe, kumblock nilishajaribu lakini baada ya sikuile mbili namu unblock, kakini yy Kila ninachoweka status lazima aview.
Nahisi ameniroga maana siyo kawaida yangu hi.

Nb: siyo mahusiano yangu ya Kwanza.
-umri wetu tuko kwenye29-34
Katika maisha ya mapenzi kuna mahusiano hutokea mara moja au mbili ya kupenda mazima na bila sababu na ikitokea mkaachana itamchukua mmoja au wote miaka SI CHINI YA MITATU kuweza kusahauliana na ku move on
Hivyo sikushauri kabisa ufanye juhudi zozote za kufuta kumbukumbu zozote muda pekee ndio utafanya hivyo.. UKO NA MIEZI 5 TANGU MUACHANE BADO 31
 
Mkuuu mbona unanipa wakati mgumuu
 
Malovee km seriously umeamua kumuacha unashindwa vip kufuta namba na kumove on? Futa hiyo namba completely then fanya mambo yako atatoka taratibu huwez kumsahau mtu ndan ya wiki au mwez it takes time.
Ninafanya Mambo yangu na huu Ni mwezi wa tano, najatikbunkuwa na furaha Kama kuhave fun na rafiki zangu, but nikiwa tu mwenyewe mawazo juu yake yanarudi
 
Back
Top Bottom