Nashindwa kufuta namba yake japo tumeachana

Nashindwa kufuta namba yake japo tumeachana

....Urgh!

Uliachana nae sababu watu “wote” humu walikushauri? Ulikosea.
Ungeachana nae kwa matakwa yako wewe mwenyewe.

No wonder una wasiwasi ukija na ID ile, watu wa humu watakuchamba. Usiishi kwa kuwafurahisha watu. Ishi kwa furaha yako mwenyewe.

Mimi nakushauri usiifute namba yake, ...na wala usiache kuangalia status zake,
Labda inakuongezea ujasiri wa ku move on.

...Na uwe na amani kabisa birthday yako inavyokaribia.
Akikutumia Birthday wishes na salamu, well and good.
Akikupotezea, pia usifadhaike...

Expectations huleta disappointments.
Thanxs mkuu,
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Ukiamua kumsahau inawezekana kabisa ni kiasi cha kufuta namba yake na kuwa busy na mambo yako, vinginevyo labda kama bado unampenda ndiyo utaendelea kuhifadi namba yake.
 
Bill Shaka mu wazima, naomba msaada wenu, mimi na mpenzi wangu tumeachana huu mwezi wa tano, lakini nashindwa kabisa kufuta namba yake.

Lengo la kutofuta namba yake ni ili niwe nafuatilia status zake, but yeye hajui kama naziona, vilevile yeye pia hufuatilia zangu bila kificho.

Naomba mnisaidie nifanye nini, nimsahau huyu kiumbe, kumblock nilishajaribu lakini baada ya siku ile mbili namu unblock, lakini yeye Kila ninachoweka status lazima aview. Nahisi ameniroga maana siyo kawaida yangu hii.

Nb: Siyo mahusiano yangu ya Kwanza.
- Umri wetu tuko kwenye 29-34
Matumizi mabaya ya hisia
 
Kama umeamua kuachana nae, mpe moyo wako mwingine na vile vile mwambie ukweli kuwa jamaa bado una hisia naye, atapata wivu na kukunyima nafasi hata ya kumfikiria
 
Mpendwa fanya chapu kwa haraka ili tujue jinsi ya kumshauri huyu sio aliyetutukana kwenye ule uzi tulipomshauri achane na huyo Mwanaume akatujibu baadhi ya members hamuachi huyo jamaa[emoji23][emoji23]akaandika ni mama kijacho.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Huyo huyo

We ni noma asee

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Huyo huyo

We ni noma asee

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ule uzi alituchamba tuliokuwa tunamshauri tofauti na mawazo yake ningejua jinsi ya kuweka uzi ningeuweka ili watu wasisumbuke kumshauri apambane na hali yake😕
 
Back
Top Bottom