Nashindwa kufuta namba yake japo tumeachana

Nashindwa kufuta namba yake japo tumeachana

Ule uzi alituchamba tuliokuwa tunamshauri tofauti na mawazo yake ningejua jinsi ya kuweka uzi ningeuweka ili watu wasisumbuke kumshauri apambane na hali yake[emoji53]
Hehehe heeheee...alitujib mbofumbofu kwenye huo uzi!

I do remember

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: nao
Ishu hata siyo kufuta namba zake. Ishu ni kumfuta moyoni tu. The rest unakua unamchora na kumcheka tu1[emoji23] halaf mtu akishakufanya ujisikie kufanya efforts ili muendelee na mahusiano basi jua hana mapenzi na wewe. Mwanaume anayeona umuhimu wako will always push forward. Twende tukale nyama choma
 
Usikute hata namba umeikalili kichwani. Nahisi kuna kitu kizur kakuachia kama kumbukumbu!.
 
Ninafanya Mambo yangu na huu Ni mwezi wa tano, najatikbunkuwa na furaha Kama kuhave fun na rafiki zangu, but nikiwa tu mwenyewe mawazo juu yake yanarudi
Hauko mwenyewe, this's my situation right now[emoji26]
 
Shida ni kwamba wapenzi wanapogombana na kuachana kila mmoja anaweka taswira ya uadui dhidi ya mwenzie.....unapoijenga taswira ya uadui kwenye fikra zako unafanya nafsi yako ijiweke katika katika hali ya tahadhali......kwa hiyo lazima nafsi yako impe special treatment yule unayemchukia ili kuweza kukabiliana na hatari itakayojitokeza.....na hapo ndipo zinazaliwa fikra za kudumu juu ya mtu huyo na kujiweka kwenye kifungo cha kudumu cha nafsi.........
 
Ninafanya Mambo yangu na huu Ni mwezi wa tano, najatikbunkuwa na furaha Kama kuhave fun na rafiki zangu, but nikiwa tu mwenyewe mawazo juu yake yanarudi
[emoji19][emoji19] nilidhan ni mimi tu ndio inanitokea hii hali kumbe tupo wengi polee dear
 
Kumbuka na yeyehajafuta namba yangu lakini hatuongeleshani wote, Mara ya Kwanza birthday yangu ndo iliturudisha katika mahusiano, aliniwishi heri ya kuzaliwa nikamjibu na zawadi juu basi tukarudisha mawasiliano, Sasa ninaona karibia siku yangu inafika asije akatumia njia hiyo tujarudiana
What exactly do you want??!
Ungependa/unatamani kurudiana nae au hapana? Maneno yako hayaendani na vitendo vyako. Haijalishi yeye anakufollow au hata ku comment, weka msimamo and stick to it.
Angalia tu usije kua fall back plan yake
 
Katika mahusiano, be straight, be truthful and honest and give your best.

Manake kikiumana atakaeteseka sio wewe.

Amini usiamini.

I think unaona nani anaeteseka.
 
Atanisagia kunguni

Cheki comment niliyomjibu eve

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Ule uzi alituchamba tuliokuwa tunamshauri tofauti na mawazo yake ningejua jinsi ya kuweka uzi ningeuweka ili watu wasisumbuke kumshauri apambane na hali yake😕
 
Back
Top Bottom