Nashindwa kulielewa hili gari

Mpwa hizo ni sensa tu, nenda pale Sinza Kumekucha Kuna yule Kijana atakufanyia diagnosis na atazirekebisha. Rudisha plug zake original, utanikumbuka

hii unayosema ni kweli hata mimi iliwahi nisumbua ila kuna jamaa Mbeya akarekebisha sensa hadi leo inapiga safari fresh kabsa nafanya tu service ya oil basi
 
Basi shida haikuwa engine.

Me nashauri sana, mtu akiamua kununua engine anunue na wiring yake na control box kama akiweza.
 
Block 16m
Engine 50m
1vd v8 diesel
 

Attachments

  • IMG-20220629-WA0004.jpg
    101.9 KB · Views: 12
Sedan zinahitaji barabara za lami most of the times.

Nazitamani sana kusema ukweli, ila kwa uendeshaji wangu nahisi ntaiacha sehemu milele.

Gari ikiwa juu inanipa confidence ya kupita kokote bila kuwaza huko chini kunafananaje.

Kuna Audi S6 naimezea mate ila nikiwaza hii miundombinu yetu, naishia kubaki njia kuu (SUV).
 
mmmh! kuna watu wamenunua used wanaishi nazo zaidi ya miaka mitano. Hizo gari zingekuwa mbovu hatari kweli zingekuwa sokoni hadi leo ?
Nina bmw 1 series nakibuluza mwaka wa nne huu, huwa nikisikiaga hizi habari najiuliza au mimi ndio nilibahatika kupata gari nzuri kwenye hizo mbovu wanazosema?
 
Mbaya zaidi wenye vits ndio wanalalamika kwa niaba ya wenye bmw
 
Umemeliza kila kitu, siku nataka kununua gari nilipenda sana bmw 1series, nikawashilikisha walionitangulia kwenye magari nikapata vitisho sana, ila nilikuwa napenda sana bmw nikasema ngoja ninunue ya gharama ndogo kidogo ili hata ikizingua nisiumie sana, nikanunua 1 series, huu ni mwaka wa tatu hii gari haijawahi breack down, service za kawaida tu kwa wakati na nimefanya overall mara mbili, last year nilijuta kutonunua x1. Mungu akipenda next year nita update to x1. So far hapa mtandaoni watumiaji wengi wa toyota ndio wanalalamika kuhusu Germany cars, ndio inashangaza zaidi.
 
 
Ukiacha utunzaji lakini pia upatikanaji wa spare pia ni tatizo. Hizo Prado na nyingine sio kwamba haziharibiki lakini pia ukipata breakdown kupata fundi na spare popote kwenye kamji ni rahisi..
Lexus
 
LS400 ni gari ya 1994.

Hata Benz na Bimmer za miaka hizo zilikuwa reliable si haba.,
Yes Reliable ukilinganisha na za sasa hivi..
Bimmer 7 series E32..
Benz w124 E420..!
Hao ndio walikuwa wapinzani wake Lexus..!
Unadhani ni ngapi bado zipo barabarani kulinganisha na LS400..!

Kwenye Reliability Mjapani hana mpinzani..!
Lexus ameonesha unaweza kupata Luxury na Reliability kwenye same package..! Game Changer..!
 

Ukishakuwa na moving parts nyingi.

Reliability nayo inaanza kukimbia.

That is the reason luxury cars nyingi siyo reliable.

Ni kama tu zilivyo airplane, huwezi kuskipp maintenance na service.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…