Nashindwa kulielewa hili gari

Nashindwa kulielewa hili gari

Mpwa hizo ni sensa tu, nenda pale Sinza Kumekucha Kuna yule Kijana atakufanyia diagnosis na atazirekebisha. Rudisha plug zake original, utanikumbuka

hii unayosema ni kweli hata mimi iliwahi nisumbua ila kuna jamaa Mbeya akarekebisha sensa hadi leo inapiga safari fresh kabsa nafanya tu service ya oil basi
 
Hiyo gari ikikushinda ulete mrejesho hapa. Haitawezekana umalize miezi 12 humjamtupia mtu mwingine huo mzigo wa miiba.

Jamaa yangu ilibidi aagize engine ya X5 lakini bado ikaendelea kumletea mapicha picha mpaka akaamua kuiuza. Saiz anatumia land cruiser.

Jirani yangu ana 7series v8 ya 2004 amepungua mpaka uzito kwa sasa.
Basi shida haikuwa engine.

Me nashauri sana, mtu akiamua kununua engine anunue na wiring yake na control box kama akiweza.
 
Block 16m
Engine 50m
1vd v8 diesel
IMG-20220629-WA0004.jpg
IMG-20220629-WA0003.jpg
 

Attachments

  • IMG-20220629-WA0004.jpg
    IMG-20220629-WA0004.jpg
    101.9 KB · Views: 12
We jamaa ukiona sedan unaiona kama chapati sio? Kwamba inatambaa?

Sema niwe mkweli, natoboaga sana flexible pipes za exhaust kwenye barabara mbovu. Nimekaa Dom mwezi barabara nzuri sijaigusa, nimefika tu Dar in two weeks jana nimeingia mahali nikaskia imegota. Muda si mrefu nikapata matokeo, inavuja exhaust. Kwenye underbody ya Fuga flex pipe ndio iko most exposed.

Sedan zina hasara zake na raha zake.
Sedan zinahitaji barabara za lami most of the times.

Nazitamani sana kusema ukweli, ila kwa uendeshaji wangu nahisi ntaiacha sehemu milele.

Gari ikiwa juu inanipa confidence ya kupita kokote bila kuwaza huko chini kunafananaje.

Kuna Audi S6 naimezea mate ila nikiwaza hii miundombinu yetu, naishia kubaki njia kuu (SUV).
 
mmmh! kuna watu wamenunua used wanaishi nazo zaidi ya miaka mitano. Hizo gari zingekuwa mbovu hatari kweli zingekuwa sokoni hadi leo ?
Nina bmw 1 series nakibuluza mwaka wa nne huu, huwa nikisikiaga hizi habari najiuliza au mimi ndio nilibahatika kupata gari nzuri kwenye hizo mbovu wanazosema?
 
Unahitaji uelewa gani katika kununua gari ?

Hakuna gari ambayo ni stress, mtu kama hama hela anaanza singizia gari, ni vyema kupita kushoto kama mfuko unapepea kama mawimbi ya redio, unachukua kinachofanana na wewe. Kila siku wenye hela zao wananunua hizo BMW , RR , Benz hawana hizo ngonjera zenu ..
Mbaya zaidi wenye vits ndio wanalalamika kwa niaba ya wenye bmw
 
[emoji28][emoji23] sasa hivi kinacho endelea humu ktk huu uzi ni:-
Vita ya European Cars Vs Japanese Cars...
Halafu vita nyingine ni Wamiliki wa magari Vs Wenye ndug/marafik wenye magari...
Vita ya tatu ni Wajuaji wa magari Vs Wajuaji wa story za vijiweni...

Me binafsi niliambiwa na watu na nikasoma ktk mitandao kwamba Subaru zinakula wese, hazitengenezeki, ni mbovu, spare gharama n.k...
Nikajiuliza ina maana hawa watengeneza magari huko ulaya na asia ni wapuuzi watengeneze magari yenye shida kias hiko..? Nikajiambia sisi WaTz ndio tuna ushamba na hatuna exposure na haya magari...
Nikasema acha ninunue Subaru nione itakuaje, by that time ujuzi wangu kuhusu magari nilikua najua kuendesha, kubadirisha tairi na betri na kuosha gari [emoji28] hadi leo ni 5yrs Subaru ipo haijawahi kunisumbua. Watu walikua wananihesabia mwezi miezi mwaka hadi wamechoka, na wengine wengi wameamua kununua Subbie kwasabab yangu baada ya kuona kama hadi huyu ng'ombe kamilik Subbie basi na sisi tunaweza...
Mimi hadi leo I know nothing about spare za magari kwasabab nazingatia service/check-up kwa muda muafaka, ninachojua ni aina za oil ambazo ni recommended kwa Subbie... [emoji23][emoji28] Sasa unakuta mtu anamiliki IST lakini anajua kila aina ya spare, kwanini..? Kwasabab hafanyi service hadi gari iharibike, kwa mtindo huo utaacha kujua akina fundi maiko wanapatikana wapi?[emoji28]
Halafu unanunua gari mbovu kwa Mtanzania mwenzako unakuja kumsingizia Mzungu...
WATANZANIA HATUJUI LOLOTE KUHUSU MAGARI, HATUNA EXPOSURE NA HATUTAKI KUJIFUNZA NA KUFUATA MAELEKEZO, NDIO MAANA KILAKITU TUNAONA HAKIWEZEKANI...
Umemeliza kila kitu, siku nataka kununua gari nilipenda sana bmw 1series, nikawashilikisha walionitangulia kwenye magari nikapata vitisho sana, ila nilikuwa napenda sana bmw nikasema ngoja ninunue ya gharama ndogo kidogo ili hata ikizingua nisiumie sana, nikanunua 1 series, huu ni mwaka wa tatu hii gari haijawahi breack down, service za kawaida tu kwa wakati na nimefanya overall mara mbili, last year nilijuta kutonunua x1. Mungu akipenda next year nita update to x1. So far hapa mtandaoni watumiaji wengi wa toyota ndio wanalalamika kuhusu Germany cars, ndio inashangaza zaidi.
 
Ni gari ya kibabe sana ile..y
Magari ya ulaya either ni soft sana au hatujui kuyatunza.

Jamaa yangu anafanya kazi za kuvuta magari mabovu sana sana kutoka mikoani. Anakwambia gari anazovuta mara kwa mara ni Audi Q7, VW Touareg, Discovery 3 na 4. Kwa ufupi ni vimeo, hakuna siku utasikia Prado imefia mkoani inaitaji kuvutwa 😂😂😂
Hayo magari ni vimeo. Hata Huku Ulaya na Marekani wananunua yakiwa bado mapya kwa sababu yanakuwa under warranty.
 
Ukiacha utunzaji lakini pia upatikanaji wa spare pia ni tatizo. Hizo Prado na nyingine sio kwamba haziharibiki lakini pia ukipata breakdown kupata fundi na spare popote kwenye kamji ni rahisi..
Lexus
 
LS400 ni gari ya 1994.

Hata Benz na Bimmer za miaka hizo zilikuwa reliable si haba.,
Yes Reliable ukilinganisha na za sasa hivi..
Bimmer 7 series E32..
Benz w124 E420..!
Hao ndio walikuwa wapinzani wake Lexus..!
Unadhani ni ngapi bado zipo barabarani kulinganisha na LS400..!

Kwenye Reliability Mjapani hana mpinzani..!
Lexus ameonesha unaweza kupata Luxury na Reliability kwenye same package..! Game Changer..!
 
Yes Reliable ukilinganisha na za sasa hivi..
Bimmer 7 series E32..
Benz w124 E420..!
Hao ndio walikuwa wapinzani wake Lexus..!
Unadhani ni ngapi bado zipo barabarani kulinganisha na LS400..!

Kwenye Reliability Mjapani hana mpinzani..!
Lexus ameonesha unaweza kupata Luxury na Reliability kwenye same package..! Game Changer..!

Ukishakuwa na moving parts nyingi.

Reliability nayo inaanza kukimbia.

That is the reason luxury cars nyingi siyo reliable.

Ni kama tu zilivyo airplane, huwezi kuskipp maintenance na service.
 
Back
Top Bottom