Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Kweli mzee ndo wale walipeleka madai hadi bungeniMbunge msigwa alikuwa anadaiwa million 20 ya service ya v8 lake sijui alilipa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mzee ndo wale walipeleka madai hadi bungeniMbunge msigwa alikuwa anadaiwa million 20 ya service ya v8 lake sijui alilipa?
Mpwa hizo ni sensa tu, nenda pale Sinza Kumekucha Kuna yule Kijana atakufanyia diagnosis na atazirekebisha. Rudisha plug zake original, utanikumbuka
Service ya kitu gani hio inafika 6m mkuu?
Lexus toleo gani kwa mfano?Lexus wapo vizuri kwenye reliability..!
Basi shida haikuwa engine.Hiyo gari ikikushinda ulete mrejesho hapa. Haitawezekana umalize miezi 12 humjamtupia mtu mwingine huo mzigo wa miiba.
Jamaa yangu ilibidi aagize engine ya X5 lakini bado ikaendelea kumletea mapicha picha mpaka akaamua kuiuza. Saiz anatumia land cruiser.
Jirani yangu ana 7series v8 ya 2004 amepungua mpaka uzito kwa sasa.
Inaweza kuwa equivalent na gari gani ya toyota?BMW 5 series sio luxury
Inaweza kuwa equivalent na gari gani ya toyota?
BMW 5 series sio luxury car.
Lexus LS400.. Hii ilikuwa game changer kwenye Luxury Sedans..!!Lexus toleo gani kwa mfano?
Mfano LX570, how air suspension zake ziko reliable ukilinganisha na Rivary wake? Pia zinauzwa bei ya kuokota?
Lexus LS400.. Hii ilikuwa game changer kwenye Luxury Sedans..!!
Lexus LS400.. Hii ilikuwa game changer kwenye Luxury Sedans..!!
Sedan zinahitaji barabara za lami most of the times.We jamaa ukiona sedan unaiona kama chapati sio? Kwamba inatambaa?
Sema niwe mkweli, natoboaga sana flexible pipes za exhaust kwenye barabara mbovu. Nimekaa Dom mwezi barabara nzuri sijaigusa, nimefika tu Dar in two weeks jana nimeingia mahali nikaskia imegota. Muda si mrefu nikapata matokeo, inavuja exhaust. Kwenye underbody ya Fuga flex pipe ndio iko most exposed.
Sedan zina hasara zake na raha zake.
Nina bmw 1 series nakibuluza mwaka wa nne huu, huwa nikisikiaga hizi habari najiuliza au mimi ndio nilibahatika kupata gari nzuri kwenye hizo mbovu wanazosema?mmmh! kuna watu wamenunua used wanaishi nazo zaidi ya miaka mitano. Hizo gari zingekuwa mbovu hatari kweli zingekuwa sokoni hadi leo ?
Mbaya zaidi wenye vits ndio wanalalamika kwa niaba ya wenye bmwUnahitaji uelewa gani katika kununua gari ?
Hakuna gari ambayo ni stress, mtu kama hama hela anaanza singizia gari, ni vyema kupita kushoto kama mfuko unapepea kama mawimbi ya redio, unachukua kinachofanana na wewe. Kila siku wenye hela zao wananunua hizo BMW , RR , Benz hawana hizo ngonjera zenu ..
Yaani nilipofika kwenye zinatengenezwa hivyo makusudi nikaona trash [emoji1005] yaani brand itengebeze gari mbovu makusudi? Anyway, kwa miaka hii ya karibu kuna wingi wa used Germany car kwa Tanzania, watu wameshashtukia kuwa ni reliable.Huu Ni upotoshaji
Umemeliza kila kitu, siku nataka kununua gari nilipenda sana bmw 1series, nikawashilikisha walionitangulia kwenye magari nikapata vitisho sana, ila nilikuwa napenda sana bmw nikasema ngoja ninunue ya gharama ndogo kidogo ili hata ikizingua nisiumie sana, nikanunua 1 series, huu ni mwaka wa tatu hii gari haijawahi breack down, service za kawaida tu kwa wakati na nimefanya overall mara mbili, last year nilijuta kutonunua x1. Mungu akipenda next year nita update to x1. So far hapa mtandaoni watumiaji wengi wa toyota ndio wanalalamika kuhusu Germany cars, ndio inashangaza zaidi.[emoji28][emoji23] sasa hivi kinacho endelea humu ktk huu uzi ni:-
Vita ya European Cars Vs Japanese Cars...
Halafu vita nyingine ni Wamiliki wa magari Vs Wenye ndug/marafik wenye magari...
Vita ya tatu ni Wajuaji wa magari Vs Wajuaji wa story za vijiweni...
Me binafsi niliambiwa na watu na nikasoma ktk mitandao kwamba Subaru zinakula wese, hazitengenezeki, ni mbovu, spare gharama n.k...
Nikajiuliza ina maana hawa watengeneza magari huko ulaya na asia ni wapuuzi watengeneze magari yenye shida kias hiko..? Nikajiambia sisi WaTz ndio tuna ushamba na hatuna exposure na haya magari...
Nikasema acha ninunue Subaru nione itakuaje, by that time ujuzi wangu kuhusu magari nilikua najua kuendesha, kubadirisha tairi na betri na kuosha gari [emoji28] hadi leo ni 5yrs Subaru ipo haijawahi kunisumbua. Watu walikua wananihesabia mwezi miezi mwaka hadi wamechoka, na wengine wengi wameamua kununua Subbie kwasabab yangu baada ya kuona kama hadi huyu ng'ombe kamilik Subbie basi na sisi tunaweza...
Mimi hadi leo I know nothing about spare za magari kwasabab nazingatia service/check-up kwa muda muafaka, ninachojua ni aina za oil ambazo ni recommended kwa Subbie... [emoji23][emoji28] Sasa unakuta mtu anamiliki IST lakini anajua kila aina ya spare, kwanini..? Kwasabab hafanyi service hadi gari iharibike, kwa mtindo huo utaacha kujua akina fundi maiko wanapatikana wapi?[emoji28]
Halafu unanunua gari mbovu kwa Mtanzania mwenzako unakuja kumsingizia Mzungu...
WATANZANIA HATUJUI LOLOTE KUHUSU MAGARI, HATUNA EXPOSURE NA HATUTAKI KUJIFUNZA NA KUFUATA MAELEKEZO, NDIO MAANA KILAKITU TUNAONA HAKIWEZEKANI...
Ni gari ya kibabe sana ile..y
Hayo magari ni vimeo. Hata Huku Ulaya na Marekani wananunua yakiwa bado mapya kwa sababu yanakuwa under warranty.Magari ya ulaya either ni soft sana au hatujui kuyatunza.
Jamaa yangu anafanya kazi za kuvuta magari mabovu sana sana kutoka mikoani. Anakwambia gari anazovuta mara kwa mara ni Audi Q7, VW Touareg, Discovery 3 na 4. Kwa ufupi ni vimeo, hakuna siku utasikia Prado imefia mkoani inaitaji kuvutwa 😂😂😂
LexusUkiacha utunzaji lakini pia upatikanaji wa spare pia ni tatizo. Hizo Prado na nyingine sio kwamba haziharibiki lakini pia ukipata breakdown kupata fundi na spare popote kwenye kamji ni rahisi..
Yes Reliable ukilinganisha na za sasa hivi..LS400 ni gari ya 1994.
Hata Benz na Bimmer za miaka hizo zilikuwa reliable si haba.,
Yes Reliable ukilinganisha na za sasa hivi..
Bimmer 7 series E32..
Benz w124 E420..!
Hao ndio walikuwa wapinzani wake Lexus..!
Unadhani ni ngapi bado zipo barabarani kulinganisha na LS400..!
Kwenye Reliability Mjapani hana mpinzani..!
Lexus ameonesha unaweza kupata Luxury na Reliability kwenye same package..! Game Changer..!
Water pump 1m?Mkuu.
Rudi vitz.
Coil moja 120k.
Water pump mil 1.
Thermostat 250k
Oil lita 60k
ATF lita laki 1.2